Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Je, upi uamuzi wako kwenye ndoa?


  • Total voters
    53
Pambana mkuu,

matatizo ndo chanzo cha ubunifu, weka target ya kipato cha 3-5M per month in the next 5 yrs. Ukifika hapo utaona utam wa mke, watoto, familia na n.k

Kuishi kwa kubangaiza mke utamuona kero, watoto ndo utawakimbia kabisa
 
Wakati unaoa hukufanya tathmini, hapa tunaweza kusema hukuangalia kwenye upande wa uchumi.

Akina billgates waliacha wake si kwa kushindwa kuhudumia hela ya msosi Ama mahitaji mengine.

Hivyo ni vyema pia kufkiria namna ya kuongeza kipato tu, kumuacha mke si solution tena (kiustaarabu)
Hapo pambana kuongeza kipato, mke pia anawajibu wa kufanya kazi kwenye dunia ya kileo. Hivyo msaidiane tu
 
Kaka umesema la maana
 
Endelea kupenda 😆😆
 
 
sabuni mi imeniokoa baadaya kuachana na mbunye sasaivi na uwezo wa kuweka akiba m3 kwa mwaka..hatukatai kuoa ila kuna mbunye nyingine ukiziweka ndani mikosi hai ishi,ina huzunisha sana br wangu kabla ya kuweka mbunye ndani alikuwa mtu saafi lakini baada ya kuweka mbunye ndani mikos haiishi kwake,mara kapigwa,mara kaibiwa mara madeni mlevi wa kutupwa ,yaan hadi anajilaumu kuoa
 
Ni jukumu umeamua kulibeba komaa nalo hakuna aliyekulazimisha.
 
Hii kitu nikweli kabisa watu wanasema ila hatuamini tunakuja kuona kwa macho
 
Acha uoga wewe,sisi wenzako mbona ndio tumefanikiwa baada ya kuoa,wewe itakuwa kuna mahali unakosea...
 
Acha uoga wewe,sisi wenzako mbona ndio tumefanikiwa baada ya kuoa,wewe itakuwa kuna mahali unakosea...
Umefanikiwaje ndugu yangu? Amekuwa kama baraka kwako au! Mm majanga matupu hela zinakatika kama maji
 
Daaah mzee umeongea kinyonge sana, kimsingi familia ina ongezeko kubwa la gharama, hivyo inabidi uwe sawa kifedha, au kama bint umemwelewa mtie mimba aendelee kuishi kwao kwanza ili asichukuliwe theni endelea kumtimizia mahitaji yake huku unaset mambo yako.
 
#Kataandoa
#Ndoaniutapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…