Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

We dada umesoma kweli au uliokota cheti cha udaktari

Otherwise ubongo wako umejaa tope, whats so special kwa huyo mwanaume mpaka anakuendesha namna hiyo, kwa nini unajishusha thamani kiasi hicho wakati bado umri wako mdogo

Usilazimishe mapenzi, ndoa ni hatua kubwa sana, unauthubutu wa kujilipia mahari, huyo mwanaume yeye role yake kwako ni ipi? Hata ningekua mimi huyo mwanaume ningekudharau maana anaona umekufa umeoza kwake kiasi kwamba unakubali under any conditions ilimradi uwe nae

Wake up from a deep sleep, zinduka, jitambue acha uzuzu, ungekua karibu yangu ningekuzibua kibao ili uzinduke

Tuliza akili utampata anaekupenda na anaekuthamini, huyo ni opportunist anakutumia hana mapenzi na wewe, tena ni mnyama kwa vitendo anavyokufanyia

Usithubutu kuingia mwenye hiyo ndoa maana utakua mtumwa wa ndoa, jiondoa kwenye hayo mahusiano na ufocus kwenye mambo ya msingi, wakati ukifika utampata wa hadhi yako
 
Daktari, ulipitaje medical school kwa akili hii? Unahitaji kuonwa na psychiatrist. Sidhani kama uko sawa mentally. Inanukia kama chai lakini.
Imagine daktari anaetibu watu mwenyewe ni mgonjwa mahututi wa akili
 
Huyu kuna siku ataombwa tigo au threesome na jamaa na atakubali🤣🤣🤣🤣
 
Hivi wewe ni mwanamke kweli au unaigiza?

Una aura mbovu na unang'ang'ania handsome?

Unaweza kulipia mchrpuko wa mumeo msafiri wote...inaingia akilini?

Hii ni stori fake
 
Ulilogwa ww kulikubali boya kama hilo likupande kila siku kwa miaka minne unamvulia nguo.....dada zangu madaktari mnakuwaga wajuaji sana ndio maana mnachotwa na mitapeli.....sasa huyo unamtambulisha nyumbani wa nn....kuharibu tu pesa..ungekuwa ndugu yangu ningewaachanisha kwa nguvu.....mm nilinyimwa ada ya chuo kwasababu ya wapumbavu kama hao
 
Tuone picha yako kwanza
Naweza shauri kumbe namuonea kidume mwenzangu
#mens for mens
 
Hivi ww una akili kweli mbona huu ni ujinga ngazi ya juu.... Unajilipia mahali, unajinunulia pete.... Me ni Bora nisiolewe kusema kweli....kama mtu awez kunilipia mahali siwez aiseh

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…