Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.
Hiyo elimu uliyokuwa nayo sijui inakusaidia vp
,huko shule mlienda kusomea ujinga au?eti nilitaka kwenda nae Zanzibar

"Mwezi uliopita nilimpeleka kwetu, nikajilipia mahari, nikanunua pete na kugharamia kila kitu ili tu anioe kwani nyumbani kila siku wananipigia kelele kuhusu ndoa. Baada ya kuvalishana pete nikamuomba tuende Zanzibar, mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.
 
Kuna wasichana wenye pesa lkn wamenyimwa kila kitu sura shape lips tsko nk huwa hawajiamini sijui kwanini..
Nisamehe lkn jmn
Una utani na mleta mada au 😅😅, mimi nadhani ana stress maana umri wake bado mdogo sijui kwa nini anajiingiza kwenye majukumu ya kuwa mlezi wa jibaba zima lenye ndevu zake

Atulize akili, no matter what bado atatokea anaempenda kwa dhati
 
Hakunaga utumbafu wa kiwango hiki hata kama wewe ni zezeta, yaani eti ulipie safari ya Zenji halafu aje na mwanamke wake wewe uishie kupiga picha!?. Unatuonaje lakini kutupiga fix za kitaahira 'namuna' hii??[emoji24]
Huyu mraxy anatuenjoy,hata kwa akili za kushikiwa huwezi kufanya huu upumbafu
 
Una utani na mleta mada au [emoji28][emoji28], mimi nadhani ana stress maana umri wake bado mdogo sijui kwa nini anajiingiza kwenye majukumu ya kuwa mlezi wa jibaba zima lenye ndevu zake

Atulize akili, no matter what bado atatokea anaempenda kwa dhati
Nimeandika hayo ninajiamini huyu hapana.

Wadada wa aina hiyo huwa hawajiamini silaha yao ni kuhonga mahandsome tu
 
Hivi wewe ni mwanamke kweli au unaigiza?

Una aura mbovu na unang'ang'ania handsome?

Unaweza kulipia mchrpuko wa mumeo msafiri wote...inaingia akilini?

Hii ni stori fake
Hana akili huyu dada, heri hichi kipande cha kwenda Zanzibar asingekielezea kidooogo tungemwelewa lkn baada ya kuingiza story sijui za mchepuko wa jamaa kwenda nao Zanzibar [emoji706][emoji706][emoji706][emoji52]
 
Hana akili huyu dada,heri hichi kipande cha kwenda Zanzibar asingekielezea kidooogo tungemwelewa lkn baada ya kuingiza story sijui za mchepuko wa jamaa kwenda nao Zanzibar [emoji706][emoji706][emoji706][emoji52]
Unaudhi sana
 
Daaahh hiv xx wanaeme tunafeli wap haki ya nani, asaa maisha yashanyooka in short hapo hakuna kazi ni kisimamia miradi tu kazi anafanya wife Xaxa mungu akupe nn hadi mahali kashalipa ww ni kumpa mtt wa watu furaha ya Mwili ila any ways uskute nae kashafanyiwa limbwata manake wanaume tufungwa kwa vingi....

Trust ur heart by the way njoo kwangu naahid kukupa mapenzi yote ummsahau huyo dume surual asie jijua kaja kufanya nn dunian .....
 
Duh.... Me kiukweli sina cha kushauri. Nahisi unapenda hayo unayopitia. Kwahiyo kumbe wanawake mkielimika elimu ya darasani huku uraiani ndio mnakuwa mabogoza namna hii?!

Wanaume wamejaa tele hebu nenda DM kajibu sms zao kule.
 
Kuna wasichana wenye pesa lkn wamenyimwa kila kitu sura shape lips tsko nk huwa hawajiamini sijui kwanini..
Nisamehe lkn jmn
🤣🤣🤣🤣Wee jamaaa wat are u insinuating
 
Fata akili kwaajili ya kesho yako na watoto wako Mungu atakao kujalia usiendekeze moyo utakuendeshaa.
 
Back
Top Bottom