Nimemwambia alikosea tangu mwanzo coz mchongo umesukwa kuanzia demu,wakili plus hakimu.Hata rufaa coz of mchongo watamsumbua.Ingekuwa enzi za yule ngosha, kungekuwa na hofu kidogo lakini siyo sasa.ulipokosea demi kaleta wakili fasta
Pole kamanda, mbususu hizi zinatumeza😂Hii ni kweli ndugu yangu na hukumu bado mbichi kabsa
Punguza hasira na ukali mkuundugu hakimJaribu kutumia akili na siyo hisia. Ulitaka nyumba ijengwe angani??? Unafikiri mahakama haijui nyumba inakaa ardhini?? Mpaka hiyo tathmini inapigwa mahakama haijui nyumba ipo wapi???
Jamii forum yote wamesoma makosa madogo madogo wanarekebisha rekebisha my dear usijali Enzo 1988Nimemwambia alikosea tangu mwanzo coz mchongo umesukwa kuanzia demu,wakili plus hakimu.Hata rufaa coz of mchongo watamsumbua.Ingekuwa enzi za yule ngosha, kungekuwa na hofu kidogo lakini siyo sasa.
Demu hivyo yaanNimemwambia alikosea tangu mwanzo coz mchongo umesukwa kuanzia demu,wakili plus hakimu.Hata rufaa coz of mchongo watamsumbua.Ingekuwa enzi za yule ngosha, kungekuwa na hofu kidogo lakini siyo sasa.
Hakuna ndoa pale, jamaa anatapeliwaSasa mkuu mbona unakua Mnyonge mwanamke hamjazaa na hamja funga nae ndoa mlikua mnaishi kiuni tu, kwanini ulikubali kwenda kwenye Mambo ya usuluhishi wa ndoa?
Hayo yote mahakama inayajua ndiyo maana imeamua case ili kuzinufaisha pande zote but kama kutakuwa na upande usioridhika itakuwa tayari kupokea mapendekezo yake that's why zikawepo mahakama za rufaa.Jaribu kutumia akili na siyo hisia. Ulitaka nyumba ijengwe angani??? Unafikiri mahakama haijui nyumba inakaa ardhini?? Mpaka hiyo tathmini inapigwa mahakama haijui nyumba ipo wapi???
Ukiishi na mwanamke kwenye nyumba moja kwa ung'eng'e tunasema under one roof kwa zaidi ya miaka miwili, muwe na ndoa au la, muwe na watoto au la, uwe ulikua unamla au lah, mahalama inamtambua kama mkeo halali.Mkuu umesema ni mpenzi meaning kwamba hamkufunga ndoa???
Sheria za wapi hizoUkikaa na mwanamke kwa muda fulani huku mkipeana huduma za wanandoa kisheria inahesabika mpo kwenye ndoa hata kama hamjafunga ndoa rasmi.
Unagawana mali na mwanamke hana cheti cha ndoa? Inawezekana vipi hii?Hatukufunga ndoa
Huu ni mtizamo wa bush lawyer tu. Hamna kitu kama hiki. Mahakama ya rufaa ilishatoa hukumu hakuna ndoa za namna hiyo mpaka mgawane mali.Ukiishi na mwanamke kwenye nyumba moja kwa ung'eng'e tunasema under one roof kwa zaidi ya miaka miwili, muwe na ndoa au la, muwe na watoto au la, uwe ulikua unamla au lah, mahalama inamtambua kama mkeo halali.
Makalio ni mavi tu yale. Mimi hata kuyaangalia siyaangalii tena. Natizama akili, wema, usafi na umriMkiwa mnaangalia makalio akili huwa zinawatoka, unaanzaje kujenga na mwanamke??!!!
NdoanaNdoa hizo
Ova
Utakuwa huijui sheria ya ndoa ya mwaka 1971 wewe! Nenda ukaisome vizuri. Sasa huyu kakaa naye miaka miwili mpaka wamejenga nyumba pamoja hata iweje hachomoki!Kwan uko wap?
Mpenz unagawana nae Mali?.
Kwan mmezaa?.
Kukaa tu miaka miwili tu ndio wamekushindia.
Aisee kata Rufaa. Kesi isogee mbele.
Mm nikajua ni mke wa ndoa