Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Dar mmezoe vitu soft soft sana. Mkuu huko katavi heka moja inauzwa si zaidi ya laki2 tena iliyo fyekwa.Wana Jukwaa,
Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji wa takribani milioni 1.2?
Asanteni.
Ukulima ni taaluma, kama huna taaluma hiyo utakula za face.Dar mmezoe vitu soft soft sana. Mkuu huko katavi heka moja inauzwa si zaidi ya laki2 tena iliyo fyekwa.
Huoni kwamba ukienda kulima huko maharage miezi si zaidi ya 3-4 hii ni pamoja na maandalizi yote. utatumia gharama si zaidi ya 1m kwa heka2.
Fanya unachopenda hasara iliyopo kwenye boda ni kubwa sana kuliko hasara utakayopata kwenye kilimo ni kukoswa faida (mavuno stahiki) lakini bado shamba itabaki kuwa yako milele
Nini maana ya taaluma mkuu?Ukulima ni taaluma, kama huna taaluma hiyo utakula za face.
Ujuzi, maarifa na uzoefu.Nini maana ya taaluma mkuu?
Samahani lakini
Swali la msingi hela za upatu unazitoa wapi??ni ishu za upatu boss tunapeana kila baada ya miez 5
Ahsante sana. Kwanini asitafute huo ujuzi,maarifa na uzoefu hukohuko shambani?Ujuzi, maarifa na uzoefu.
Si ajabu yeye ana hiyohiyo 1M imlishe na imuendeshee maisha wakati akiendelea na hiyo harakati.Ahsante sana. Kwanini asitafute huo ujuzi,maarifa na uzoefu hukohuko shambani?
Hakuna mtu anazaliwa anajua kulima automatic.....ni vyema kama anania akafanya hivyo najua ni ngumu sana kwakwe maana hajawahi fikiria jambo kama hilo maishani kwakwe na anaona kazi za watu wasio Soma ama za vijijini.
Ukweli ukijipa miaka 3 lazima uone mwelekeo
Kwani kabla hajaipata hiyo hela alikuwa anaishije mkuu? Ni uhakika huo ni mtaji wake siyo hana hela ya kujikimu kama ni hivyo hata kwenye boda aombee mema asipate changamoto yoyote......Si ajabu yeye ana hiyohiyo 1M imlishe na imuendeshee maisha wakati akiendelea na hiyo harakati.
Kilimo hakihitaji hayo, inabidi walau uwe na kaakiba ka kusurvive wakati ukisubiri matokeo, biashara kama bodaboda utakula, utavaa, utalala na utasave pia na pia unaweza kuongeza working hours na kipato kikaongezeka ni tofaut na kilimo, ukiweka umeweka, subiri mavuno then ndio utabadili mtaji wako hasa kwa mtaji kama wa mleta uzi.
Kama piki piki utaendesha wewe mwenyewe basi itafaa zaidi na itakupa mtaji wa kufungua LibraryWana Jukwaa,
Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji wa takribani milioni 1.2?
Asanteni.
Ajipange na Hela ya emergency kwani muda SI mrefu utasikia bodaboda wako amejipiga huku ukienda kucheki unakuta amevunja shock up,taa, dashboard, indicator nk ukipiga hesabu inahitajika zaidi ya 200k.. biashara ya bodaboda ni ugonjwa wa moyoNunua pikipiki. Hii ina uhakika wa kupata pesa kuliko Library. Kwa technolojia ya sasa watu wanapata movies na music kwa urahisi mitandaoni kuliko kwenda Library.
Ushauri wangu nunua pikipiki mkuu. Kikubwa uwe na nidhamu barabarani na nidhamu ya pesa.
Piki piki ukkendesha mwenyewe na ukawa unajielewa inakupa hadi laki 9 kwa mweziNunua pikipiki. Hii ina uhakika wa kupata pesa kuliko Library. Kwa technolojia ya sasa watu wanapata movies na music kwa urahisi mitandaoni kuliko kwenda Library.
Ushauri wangu nunua pikipiki mkuu. Kikubwa uwe na nidhamu barabarani na nidhamu ya pesa.
Mkuu,fanya biashara ambayo utaiendesha na kuingalia Kwa ukaribu wewe mwenyewe, bodaboda ni kipengele mkuu labda kama dereva utakuwa wewe mwenyewenashukuru sana mkuu
Unajua welding machine, drill na grander ni shingapi bro?Nunua welding machine angle grinder na drill ufungue goli uwe unachomelea riziki utapata mkuu
HahahahUnajua welding machine, drill na grander ni shingapi bro?
DUuhAjipange na Hela ya emergency kwani muda SI mrefu utasikia bodaboda wako amejipiga huku ukienda kucheki unakuta amevunja shock up,taa, dashboard, indicator nk ukipiga hesabu inahitajika zaidi ya 200k.. biashara ya bodaboda ni ugonjwa wa moyo
Nina uzoefu juu Hilo mkuu, nilimpa kijana boda yangu akaendesha wiki 2 tu akaipiga chini,hizo gharama siyo poa kaka..taa kubwa, dashboard,foot rest, na hapo Hela aliyoleta Kwa wiki 2 haitoshi kununua hivyo vyoteDUuh