Naomba ushauri: Punyeto, Wivu na Uoga vinanitesa. Naona maisha yangu yapo hatarini

Kwenye Kuomba namba hapo ndo Kuna shida Kiongoz nashindwa aisee nisaidie
 
Nishauri nifanyeje niache
 
Miaka 20 Nyeto ndio umri wake usiogope. Sema kama upo Dar mdogo mdogo anza kuflirt na wale wadada wa Riverside kama una hela. Utapata experience.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida ni ile aibu ya kukataliwa ndio inamsumbua, kukataliwa kunauma sana, yaani mtu anajipinda anakupiga sound weeeee, halafu unampa za uso, inaumiza sana
 
Kwenye Kuomba namba hapo ndo Kuna shida Kiongoz nashindwa aisee nisaidie
Sasa hapa nakupa dawa niliyotumia mimi, huwezi kufeli. Tongoza demu mzuri kupitia facebook, usitumie ile mitandao ya dating...,maana huna uzoefu, facebook una a good chance ya kutongoza bila aibu, na utapata mtu decent wa kufanyia majaribio.., na ondoa woga kabisa, hakuna aliyezaliwa anajua kufanya..

Mshawishi aje ghetto kwako, usiende nae gesti, maana hiyo itakuongezea anxiety, na mwisho wa siku akikuvulia kwa pupa mapigo ya moyo yanaweza kuongezeka yakaenda mbio, na hutaweza kufanya kitu.., ila ghetto una nafasi ya kum-tune taratibu hadi unakaa nae sawa...,ukishafanya tu mara moja, utapata bonge la confidence, na tatizo litakuwa limeisha hapo
 
anaesema punyeto ina madhara ni muongo mimi nina umri wa miaka 50 na tangu ujana wangu napiga punyeto na pia nimeoa na na watoto na bado napiga punyeto na wala hainifanyi kuogopa wanawake bado nawatongoza kila ninaekutana nae na nguvu hazijapungua punyeto inapunguza stress ya mademu na inapunguzamatumizi na inakuepusha na ugonjwa ya maabukizi
 
Anaonekana anaijua punyeto kwa undani sana hivyo huyu hashauriki labda ajishauri mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…