Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa mkuuuWanakulaga kotekote, kwa aliyeibiwa simu, kwa aliyeiba na kwa aliyenunua. Wataendelea na kamchezo hako wala hawamwambii aliyeibiwa kuwa imepatikana
Kwa hyo mliuziwa simu iliyotumika ikiwa ndani ya boksi na imefungwa sealed?Risit tulipewa mkuu na box lake ila BOKSI walifoji
yani inakua kama iko mnadani atakaepanda dau anachukua.
wanunuzi kama walala hoi hela hawana Mwenye simu anaambiwa simu imepatikana ila iko NAMPULAsehemu unayoenda kilometa kwanzia 1000 unaambiwa ulipe nauli wakaifate![]()
hio nauli ni kubwa kuliko simu ulopoteza! mwisho wa siku unaamua kupotezea, wanamkaba kaba mtuhumiwa wanamtoa basi, au unapigwa nauli unapewa simu
Hawa watu ndo mana Hamza alilala nao mb
Aliyemuuzia alisema ni used from UK kumbe box alifoji ila risit alitupa ya ofcn KWAKE ye ni dalaliKwa hyo mliuziwa simu iliyotumika ikiwa ndani ya boksi na imefungwa sealed?
Wanakera Sana mkuuyani inakua kama iko mnadani atakaepanda dau anachukua.
wanunuzi kama walala hoi hela hawana Mwenye simu anaambiwa simu imepatikana ila iko NAMPULA [emoji2] sehemu unayoenda kilometa kwanzia 1000 unaambiwa ulipe nauli wakaifate
hio nauli ni kubwa kuliko simu ulopoteza! mwisho wa siku unaamua kupotezea, wanamkaba kaba mtuhumiwa wanamtoa basi, au unapigwa nauli unapewa simu
Hawa watu ndo mana Hamza alilala nao mbele
kama wamekupa RISITI ya EFD na umenunua DUKANI kwa huyo jamaaRisit tulipewa mkuu na box lake ila BOKSI walifoji
Mkuu Asante ila huyu ndugu yangu hela yake ataipataje sasakama wamekupa RISITI ya EFD na umenunua DUKANI kwa huyo jamaa
na yeye yupo ameshakamatwa
Omba kesi iende mahakamani
hata wakuambie kauliwa mtu wewe uwaambie kesi iende mahakamani
ishatokea kwa ndugu yangu
ila sasa nilivyoona dau wanalotaka kubwa
nikamuambia ndugu yangu kesi iende mahakamani 7bu kesi yake inadhamimika na alomuuzia ameshakili yeye ndo alomuuzia basi kesi iende mahakamani
wakatutisha atafungwa ndugu yako
mm nikamuambia labda ubadilishe maelezo hayo tuloeleza lkn km maelezo ni hayo aloandika na kutia sahini na mimi kutia sahini DHAMANA kesi ipo wazi na sisi tutafungua kesi ya kutapeliwa kuuziwa kitu amabcho muuzaji alikuwa anajua kabisa ni cha wizi
baada kuona ugumu tumekataa kutoa zaidi pesa hapo nishamdhamini na tushalipa kam laki 2 na nusu tukaambiwa tufike asubuhi saa 1 tukakutanishwa na mwenye simu tuongee tumalizane nae
mm nikawaambia simu iletwe nikamkabidhi alotuuzia mkononi
nikamuambia simu yako hii hapa ya WIZI uloiba ukamuuzia ndugu yangu sasa wewe malizana na ulomuibia simu yako kisha sisi wewe tutakufungia kesi ya UTAPERI na MADAI utulipe pesa yetu tukakaa pembeni
haikuwa kazi nyepesi ila.mwisho wa siku wakata ela ya kufuta kesi laki 3
tukaawambia afande hapa tumebakiwa na elf 50 tu hatun pesa nyingine
wakachukua hiyohiyo
basi bana simu ikaenda ilikuwa SAMSUNG tu ya laki 2 na laki 3 zikaenda kiboya
So mkuu wewe komaa nao tu hao kikubwa hakikisha kila mnachoongea wewe warecord tu ili wasikubadilishie maelezo
ila hapo ukitoa pesa zaidi watakuonea
hao mabwana PGO ukiwa falafala watakupiga ela sana
we fikilia kufuta kesi ni BURE kabisa lakini wajomba wakataka laki 3 eti umechafua JALADA la POLISI
na POLISI kufuta kesi kisheria ni UFAHARI kwao sana kuliko kesi kwenda mahakamani
Yaani kwa lugha nyepesi POLISI wanapenda kesi ziishie kwenye DAWATI la POLISI zaidi kuliko kwenda mahakamani
na kipengele cha kumalizana kipo kisheria SIO kwamba polisi anafanya fea
kubwa na muhimu tu mlalamikaji aridhie
Asante mkuukama wamekupa RISITI ya EFD na umenunua DUKANI kwa huyo jamaa

Asante mkuuNenda ofisini kwa rpc wa kanda maalum uongee nae atakusaidia
Kuna vitu Vimeongezwa kwenye hii Taarifa.Unanunua simu ya million 2 kwa mtu?
Au umelewa mleta mada?
kila ufala inapoangushiwa zigo elimu ndio mwanzo wa kufeli.Sifa kuu ya kuwa polisi ni kupata division 4 ya points 32 na kuendelea
Habari Wana jukwaa...
Kuna rafiki yangu kauziwa cm ya wizi yeye alinunua uko makumbusho police wameitrak wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia.
Wakamfatilia wakajua yupo. Mtwara Ila shida inakuja kwa huyu rafiki yangu polisi wameshamtoza Tena ela za kwenda kumfatilia uyo mtuhumiwa number moja wakati yule aliyemuuzia wamemkamata ndio angetakiwa kuwajibika sio uyu rafiki yangu Tena
Maana yeye kanunua tu na kingine WANATAKA tena laki Tano eti nae alipe ili kulipa vitu vilivyopotea na hiyo simu wakati uo kashawapa laki 3 za kumfuata uyo mtuhumiwa uko mtwara na simu alinunua million 2
Je wadau afanyaje kuipata aki yake maan me naona wanamlia ela wakati kesi ausiki tena...
MAON YENU PLEASE...
DahHabari Wana jukwaa...

Ni mradi wa mapolisiRisit tulipewa mkuu na box lake ila BOKSI walifoji