Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Aisee, watu wana uthubutu sana bwanaUnanunua simu ya million 2 kwa mtu?
Au umelewa mleta mada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, watu wana uthubutu sana bwanaUnanunua simu ya million 2 kwa mtu?
Au umelewa mleta mada?
Nikituo gani nione namna ya kukusaidia?Habari Wana jukwaa...
Kuna rafiki yangu kauziwa cm ya wizi yeye alinunua uko makumbusho police wameitrak wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia.
Wakamfatilia wakajua yupo. Mtwara Ila shida inakuja kwa huyu rafiki yangu polisi wameshamtoza Tena ela za kwenda kumfatilia uyo mtuhumiwa number moja wakati yule aliyemuuzia wamemkamata ndio angetakiwa kuwajibika sio uyu rafiki yangu Tena
Maana yeye kanunua tu na kingine WANATAKA tena laki Tano eti nae alipe ili kulipa vitu vilivyopotea na hiyo simu wakati uo kashawapa laki 3 za kumfuata uyo mtuhumiwa uko mtwara na simu alinunua million 2
Je wadau afanyaje kuipata aki yake maan me naona wanamlia ela wakati kesi ausiki tena...
MAON YENU PLEASE...
Anahusika sana.Ana risti ya EFD,ana boksi la simu?ana uthibitisho wa umiliki wa simu?Kama hana basi ni sehemu ya mtandao kawasaliti wenzake.Inshort ni kwamba kununua mali ya wizi kunakufanya uwe mwizi.Habari Wana jukwaa...
Kuna rafiki yangu kauziwa cm ya wizi yeye alinunua uko makumbusho police wameitrak wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia.
Wakamfatilia wakajua yupo. Mtwara Ila shida inakuja kwa huyu rafiki yangu polisi wameshamtoza Tena ela za kwenda kumfatilia uyo mtuhumiwa number moja wakati yule aliyemuuzia wamemkamata ndio angetakiwa kuwajibika sio uyu rafiki yangu Tena
Maana yeye kanunua tu na kingine WANATAKA tena laki Tano eti nae alipe ili kulipa vitu vilivyopotea na hiyo simu wakati uo kashawapa laki 3 za kumfuata uyo mtuhumiwa uko mtwara na simu alinunua million 2
Je wadau afanyaje kuipata aki yake maan me naona wanamlia ela wakati kesi ausiki tena...
MAON YENU PLEASE...
Acha apate akili,huwezi kuwa na M2 ukaenda kununua simu ya mkononi.Habari Wana jukwaa...
Kuna rafiki yangu kauziwa simu ya wizi yeye alinunua huko Makumbusho polisi wameitrack wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia.
Wakamfatilia wakajua yupo Mtwara ila shida inakuja kwa huyu rafiki yangu Polisi wameshamtoza tena hela za kwenda kumfatilia huyo mtuhumiwa number moja wakati yule aliyemuuzia wamemkamata ndio angetakiwa kuwajibika sio huyu rafiki yangu tena
Maana yeye kanunua tu na kingine WANATAKA tena laki Tano eti naye alipe ili kulipa vitu vilivyopotea na hiyo simu wakati huo kashawapa laki 3 za kumfuata huyo mtuhumiwa huko Mtwara na simu alinunua milioni 2
Je, wadau afanyaje kuipata haki yake maana mimi naona wanamlia hela wakati kesi ahusiki tena.
MAONI YENU PLEASE.
Usilazimishe mambo kwa uelewa wako mdogo. Hiyo ni kesi mbaya na omba iishe wala usione kutoa hela anapoteza....anatetea Uhuru wake. Ikiambatana na robbery ndio utajua.Aliyemuuzia wanae sa kwann bado WANATAKA alipe Hela za vitu vilivyopotea na ajajua atma ya Hela yake mkuu
Wengine ndio tutamuelewa bw. Hamza. Polisi nchini ni maharamia kabisaHabari Wana jukwaa...
Kuna rafiki yangu kauziwa simu ya wizi yeye alinunua huko Makumbusho polisi wameitrack wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia.
Wakamfatilia wakajua yupo Mtwara ila shida inakuja kwa huyu rafiki yangu Polisi wameshamtoza tena hela za kwenda kumfatilia huyo mtuhumiwa number moja wakati yule aliyemuuzia wamemkamata ndio angetakiwa kuwajibika sio huyu rafiki yangu tena
Maana yeye kanunua tu na kingine WANATAKA tena laki Tano eti naye alipe ili kulipa vitu vilivyopotea na hiyo simu wakati huo kashawapa laki 3 za kumfuata huyo mtuhumiwa huko Mtwara na simu alinunua milioni 2
Je, wadau afanyaje kuipata haki yake maana mimi naona wanamlia hela wakati kesi ahusiki tena.
MAONI YENU PLEASE.
Risit tulipewa mkuu na box lake ila BOKSI walifoji
ela ulonunulia SIMU labda huyo alokuuzia umfungulie kesi ya utaperi akutwe na hatia then umfungulie kesi ya MADAI ama la ukubali tu pesa ishapoteaMkuu Asante ila huyu ndugu yangu hela yake ataipataje sasa
Asante mkuu
hakuna hicho haiwezi toka dhamana bila maelezo pande zote mbili inamaana km kashapata dhamana maelezo yashatoka iliobaki ni kesi iende mahakamani au lah wamalizane na mlalamikajiHakuna Haki police! Next time anunue simu Mpya! Police wanaweza kusema lolote na you have absolutely nothing to do' yeye a negotiate bei basi!
Anaweza kufa kimasihara, au kuunganishwa kwenye Kesi tata!
hapana hakukufanyi kuwa mwizi unless kuwe na ushaidi unaonyesha fika uwe unajua fika unachonunua ni cha wiziAnahusika sana.Ana risti ya EFD,ana boksi la simu?ana uthibitisho wa umiliki wa simu?Kama hana basi ni sehemu ya mtandao kawasaliti wenzake.Inshort ni kwamba kununua mali ya wizi kunakufanya uwe mwizi.