Naomba ushauri wako juu ya kipi nifanye kwa hiki kilichotukumba kwenye ndoa

Watembelee wasio na watoto utaona faida za watoto

Watembelee wenye matatizo mazito kwenye ndoa zao utaona wepesi wa tatizo lako

Usi sahau Kila mtoto huja na sahani yake

Kuna wakati unacho kipata wengine wanakikosa sio kwasababu wewe una bahati Ila nikwasababu ya watoto

Kwa hiyo kumchukia mkeo kwa kuku zalia nikusahau kilicho kufanya umuowe badilika mkuu
 
Sawa sawa. Ahsante
 
Nashkuru sana mkuu. Nitafanya hivyo
 
Ni kwel usemayo chief. Kuhusu uhakika wa mimba kuwa yangu, hilo sina shaka. Mapokeo tu ndio yamekua na mtanziko
Lipokeee Sasa,be a man ...kumbuka mtoto aliyepo tumboni ni kiumbe hai...Sasa ana miezi kadhaa! Hayo masononoke yatamuathiri na yeye! Hebu tulieni...nikioata nafasi baadaye ntakupa mkasa Fulani...DM ,Kwa kuwa Nina uhakika kibosile unayemhusu yupo humu! Atajisikia vibaya...lakini tuliza akili...mwambie Shemeji ,hayo mambo ya kawaida...watu wanapata watoto at 45 ,!
 
Mtoe out halafu msifu Kwa kufyatua hao wnne alionao na huyo atafyatua tu!!

Sisi me ni shock obsorber sio stress inducers!!

Tangu mwanzo ungeua wasiwasi wake angekua fine!!

Mtoe out kabisa halafu msifu aachane na stress!
Ni kwel kaka nikiri kabusa mimi ndio nimemsababishiankwa namna flan kuwa hiv, hil ni kosa nilifanya japo sikukusudia, but i will do my best kusahihisha.
Ahsante sana
 
Nimekuelewa sana mkuu. Ahsante sana
 
Mtoto wangu wa nane (8) alizaliwa nikiwa na 42, na kama familia tulimpokea kwa furaha na tuna amani tele.
Nafurah kufahamu kumbe wapo watu ambao mna experience ya suala hili. Nazid kupata ujasiri. Ahsante sana
 
Daahh mkuu, nakushukuru sana. Ubarikiwe sana mkuu wangu
 
Yaani umri huo Kaka mkubwa mnadinyana alafu mnaogopa kupata mtoto wa tano ,hapa naona unatamani tukushauri muitoe hiyo mimba Ila Mimi nakushauri msitoe mimba ,lea huyo kiumbe akikuwa fungeni uzazi hiyo ni mistake mshaifanya kubalini uhalisia tu .
Naunga mkono hoja.

Tena huyo mtoto akizaliwa atakuwa tofauti sana na wenzake inawezekana akawa ndio furaha kuu ktk familia.
 
Nimekuelewa vizur ndugu yangu, simchukii wife, ila yeye ndio kama ana hasira na mimi. Mi simchukii kabisa mkuu
 
Sawa sawa chief. Ahsante sana
 
B
Hapana kaka. Katika angle hiyo wala sina niogopacho, kama unacholenga ni majukumu yanayohusu fedha malazi mavazi na makaz na elimu, hapo hakuna kinachoniwazisha hata kidogo
Basi nakuomba mpokee mwanao mpya ,kaa na shemeji kubali imekuwa no way ,mpokee mtoto akishajifungua basi nitakuwa hapa kukupa njia Safi na salama ya uzazi wa mpango .

Asante by boss wa Kijiji cha mpitulu
 
Ahahahahah... mkuu kwa namna nyingine umefanya nicheke. Ila usemayo ni sahihi.

Niseme tu, suala la wife kutokuabali hili kirahisi ndio linanipa hofu nafikiri. Namuelewa though kwann yuko hiv. Ninkitu kigumu sana uzazi
Mtoe wife out sehemu nzuri, then mpongeze kwa bahati ambayo Mungu amewajalia. Kuanzia hapo ishi naye kama alipopata mimba ya mtoto wenu wa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…