Naomba wanaume tuje tubuni mbinu mpya za kuomba namba za simu.

I'll tell you mbinu yangu moja tu kati ya nyingi
Ukikutana nae kama unadrive utampgia honi akismama utamfata
Utamwambia samahani mimi siendi uelekeo huu ila nlkua nafuata gari yako nmependezwa na wewe
Nmekufuata parefu kiasi naona ntapotea zaidi NAOMBA NAMBA ZAKO ZA SIMU KAMA HAUTAJALI


Kama upo kwa miguu mbinu ni Ile ile
Samahani nmekufuata nyuma tangu msimbazi huku unapoenda spajui zaidi nmeona nigeuzie hapa naomba namba yako ya simu
 
Mimi mwanamke kunipa na kuwa na Mimi apambane kwelikweli wanawake wananiomba Mimi namba wananitongoza wao na sitoi namba kijinga wengine wanalia
Mimi mwanamke kunipa na kuwa na Mimi apambane kwelikweli wanawake wananiomba Mimi namba wananitongoza wao na sitoi namba kijinga wengine wanalia
😅😅😅😅 raha sana kuwa handsome boy hata ukose pesa unakula muda wowote.
 
Huku MTU hauwezi andika kila kitu...tuna julikana 😉
 
Eti beautiful and bright. Unajuaje kama ni bright
 
Siku hizi hata sio kazi kumpata mwanamke, wanawake wengi wamekuwa wepesi na wengi huliwa kimasihara tu, tho Mimi binafsi siwezi endelea na manzi nitakayemtongoza alafu anikubaki chini ya massa 2 (wako wengi mno)

Miluzi ya mambo ya kugeukageuka ni ushamba kwa Karne hii, ukimtaka mtu muapproach tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapa umenena kabisa na huu ndiyo uhalisia girls are plenty but we men should reason to ourselves.....kwa nini kila mwanamke umuombe namba.
 
Unajidanganya
Nakuambia ukweli ninao ujua mimi mpaka leo wala usibishe ndugu, mwanaume ukijua kujiweka fresh totoz lazima zikuzimikie, wewe kataa ila huo ndiyo ukweli.

Muhuni unatoa ten tu ya guest unakula pisi kali au yenyewe inalipa bills zote kisa imekuelewa ila mjuba mwingine anaenyeka kuhonga laki.
 
Jinsi ulivyoandika, title na contents wala havihusiani..!!! Yaani ni kama gazeti flani hivi la udaku
 
Handsome uendane na hela bila hela majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…