Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,729
Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu .
Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda .
Nina mashaka Makubwa na Elimu yake.
Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi.
Hatuwezi kuwa na Taifa la watu wanaochezea mifumo ya Elimu.
UPDATE
Nimepata Taarifa kuwa wajumbe wamemchagua Munde Kwahiyo sikonge haitokuwa na Mwakilishi huyu ambaye Elimu yake ni utata mtupu.