Naomba watu waliosoma na mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Skonge, Joseph Kakunda watupe ukweli wa majina yake

Naomba watu waliosoma na mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Skonge, Joseph Kakunda watupe ukweli wa majina yake

Pamoja na kwamba simjui huyo mbunge ILA watu walisoma miaka ya 1990 kurudi nyuma wanatambua kuwa, shule za sekondari za Serikali zilikuwa chache sana, unakuta shule ya msingi darasa moja anachaguliwa mtoto mmoja au wawili hata kama mlikuwa magenious kwa sababu ya uchache wa nafasi

Utaratibu wa kurudia darasa (kujaribu bahati) haukuwa rasmi hivyo mtu akirudia alikuwa akipewa jina la mtoto aliye acha shule...na ndipo hapo waliosoma miaka hiyo wengine wanamajina tofauti tofauti kwa hiyo siwezi kushangaa; ila kama alifoji cheti huku juu hiyo ndio itakuwa habari tofauti.....ILA kama ni huko msingi mwache asonge mbele!
Sahihi,miaka hiyo walirudia shule kwa majina ya walioacha shule, wachache waliweza kwenda kuyabadilisha kwa kuapa mahakamani!
 
Ufafanuzi
Unataka kufafanuliwa nini hapo? Amekwambia jamaa ukoo wake wote kwa maana ya ndugu zake na hata watoto wake ni waislam ila jamaa ana majina ya ki kristo,ina maanisha kuna kitu hakipo sawa, pengine ametumia vyeti batili.
 
Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu .

Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda .

Nina mashaka Makubwa na Elimu yake.

Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi.

Hatuwezi kuwa na Taifa la watu wanaochezea mifumo ya Elimu.

View attachment 3407669
Alisoma shule moja na Bashite huko Tabora.
 
Wewe unajuaje huko msikitini anajiita Yusufu ?
WAtu kama wewe ndio kansa inayomaliza hili taifa.

Mtu anakuja na taarifa wewe unamkana na kumkata as if ni mtoto au mke wa huyo mpuuzi mwenzako ambaye amefoji taarifa,unakuwa na maana gani?

Kama hauna hoja za msingi za kuchangia si unyamaze tu lakini mapumbu yako wewe.
 
Kumanyoko
What are you doing now?
Umeiona breakfast kweli ?

1752650540311.png
 
Kwa nini mnapenda kutetea ujinga?
Wewe unachagua jina au Mbunge!
Jina ni Identity tu ,kwani ukiamuita Yusufu itakusaidia nini?
Watu wenye akili ndogo kama wewe ni kuhangaika na vitu vidogo vidogo.
Kama huwezi kumuita Joseph Kakunda basi muite Yusufu Kakunda ili roho yako itulie.
 
Back
Top Bottom