Empty container for sale
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 2,616
- 2,125
Wewe ndo umeongea ukweli hongera sanaHuo ujinga niliukataa mwaka 1972 baada ya mzazi wangu kusuka mpango na mwalimu mkuu nikarudie sehemu nyingine kwa jina langu lisilo la ubatizo kwa sababu sikuchaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari....
Nilimgomea mzee wangu bila woga hadi akaishia kuniandikisha Mzizima Secondary School shule private....
Ni wakati wa kuiponya nchi kwa kusafisha waharifu wa kimfumo na wahuni bila huruma. 😡