Kama alikuwa ni mtu bomu, amepenya kwa rushwa, hana uwezo wa ubunge, na hajafanya lolote la maana kuleta maendeleo, kumsagia kunguni na kumchoma kwa vyeti feki na elimu ya kuungaunga ili asichaguliwe tena, ili msiendelee kuchagua mabomu, huko ni kufanya kazi ya Mungu, kazi ya kheri, utabarikiwa, na yeye akapambane na hali yake!.
Lakini kama alikuwa mchapakazi, amejituma, ameleta maendeleo, kumsagia kunguni na kumchoma kwa vyeti feki na elimu ya kuungaunga ili asichaguliwe tena, sio kumtendea haki, karma ya mateso yake, na wewe pia itakuhusu.
P.