Naomba watu waliosoma na mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Skonge, Joseph Kakunda watupe ukweli wa majina yake

Naomba watu waliosoma na mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Skonge, Joseph Kakunda watupe ukweli wa majina yake

CV yake imeshiba na jamaa yupo vizuri sana kama nilivyokuambia.
Kuhusu background yake ya elimu kama ungetuliza halmashauri ya kichwa chako ungeipata isipokuwa tayari umechajenga chuki kwa ajili ya kumchafua. Fuatilia historia yake kwenye wizara na mashirika ya umoja wa mataifa( UNDP) aliyofanya kazi. Joseph Kakunda yupo smart sana isipokuwa chama chake ndio kinamuangusha.
Sio kweli huu ni uongo , nimekutega umetegeka

Ngoja nimlindie heshima Ila hana u smart wowote .

Nilidhani unamjua kumbe wapi
 
Sio kweli huu ni uongo , nimekutega umetegeka

Ngoja nimlindie heshima Ila hana u smart wowote .

Nilidhani unamjua kumbe wapi
Mkuu weka wazi hapa tumfanyie vetting kama naye anataka kuongoza, tusirudie makosa ya Kizimkazi.... Angalia inavyotugharimu. 😲
 
Swali lako la kijinga sana ...nakushauri tumia akili kabla ya kuuliza swali. Ni sawa uuloze yesu au Jesus au issa ni jina la kiislamu au kikristo
Jibu hoja

Joseph ni jina la kikristo?
Nabii Joseph alikua mkristo?
 
Kuna vitu viwili Watanzania tunamatatizo na vinachangia kutuchelewesha kuendelea.
  1. Umasikini wa Roho- Kuna watu wanatatizo la umasikini wa roho, hivyo wakimuona mtu yeyote amefanikiwa, wao wanaumia roho na kuumia mioyo, wanataka wangekuwa wao, na kuanza kujiuliza, amepataje, na kuanza kumchunguza kwa ku deal with petty issues, amesoma wapi, anaishi wapi, anatoka na nani, na kufuatilia maisha ya watu, kwa kifupi hawa ni wambeya!
  2. Maskini wa Fikra- Kuna Watanzania wengi wanakuwa masikini kwasababu ya umasikini wa fikra, wana fikra za kimasikini, huu ndio umasikini mkubwa zaidi na mbaya zaidi kwa Watanzania. Wakimuona mtu amefanikiwa, wanamdhania kaiba, katapeli, kapiga deal etc, na wengine kutaka kumshusha, kumpiga zengwe au kumuundia kamati za roho mbaya kumpiga majungu!. Kuna watu wana wivu sana na mafanikio ya watu wengine, hapa wanamuona Kakunda kafaidika sana na ubunge, hivyo tunavyojiandaa kwa uchaguzi, kuna watu wanataka kumpiga zengwe, kuwa ana elimu ya kuunga unga, ili kumpiga zengwe amefoji vyeti usiteuliwe tena kugombea tena!, hawajui sifa ya mtu kuwa mbunge Tanzania sio cheti, ni kujua tuu kusoma na kuandika, hata kama mtu hakusoma hata darasa moja lakini anajua kusoma na kuandika, huyo ni mbunge halali!.
  3. Jina la mtu analotumia, halina uhusiano na elimu ya mtu, hata kama alifoji cheti cha mtu na akakitumia kujiendeleza, aliyeingia darasani ni yeye, alisoma na kuelimika ni yeye, na aliyehitimu ni yeye, hivyo mwenye elimu ni yeye na sio lile jina bandia!, tuna watu wengi wenye majina bandia, akiwemo Daudi Bashite, Kigwangala na Mwigulu, lakini hizo elimu walizopata baada ya kufoji majina ni elimu zao halali !. Mfano mzuri ni Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli lakini pia Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!
  4. Kwa bahati nzuri, mimi nimetokea kumfahamu Kakunda, ni mtu poa kabisa, mshuhudie hapa
    View: https://youtu.be/f5AZA5_sTOo?si=szGDPNy_EE8ZN6eI

  5. View: https://youtu.be/KPj26Jv9wGA?si=mdEEgb5mnEO87Xf7

  6. View: https://youtu.be/T-WsotrNjXI?si=ubHlDCPIpWXyQVtn

P.

Wewe mwenyewe mbona ni maskini wa kutupwa una kazi ya kujiapisha apisha upumbavu tu kwa mission za kijinga sana
 
Hakuna jina la kikristo wala la kiislamu tumia akili wewe mbuzi...hoja ya majina kuwa ya kikristo au kiislamu imebuniwa na makafiri ya kiislamu na makafiri ya kikristo
Mm sio mbuzi kwanza
Lapili hilo jina ni kiebrania (kiyahudi) hivo haliwahusu wakristo wala waislamu ndo hoja yangu hiyo
 
Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu .

Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda .

Nina mashaka Makubwa na Elimu yake.

Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi.

Hatuwezi kuwa na Taifa la watu wanaochezea mifumo ya Elimu.

View attachment 3407669
Kuna mwingine mwanaume aliitwa Pauline, nilishangaa. Sema keshatangulia.
 
Back
Top Bottom