Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
ChristiansKwani Joseph ni jina la kizungu au kikristo?
ChristiansKwani Joseph ni jina la kizungu au kikristo?
Hakika tutaujua ukweliNi kama ambavyo utata huwa unatokea Kwa wabunge wa vyama vingine kutokuwa na maarifa ya kujaza fomu Kwa usahihi.
Unauhakika?Christians
Ndio jina lake , ila sijui kama ndio la utotoniJe hilo jina ni la kwake?
John Heche Chuoni SAUT alikuwa anaitwa WEGESA CHARLES.Maana yake HANA cheti chochote chenye jina la John Heche. Hapo una maoni gani?Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu .
Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda .
Nina mashaka Makubwa na Elimu yake.
Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi.
Hatuwezi kuwa na Taifa la watu wanaochezea mifumo ya Elimu.
View attachment 3407669
Elimu ya zamani fursa zilikuwa chache sana kupata shule za serikali kwenda O-level. Na ikumbukwe enzi hizo shule za serikali ndio zilisifika na kubeba watoto wengi kuliko private. Hivyo endapo mtoto asingechaguliwa mzazi alikuwa tayari kumrudisha mtoto darasa la saba ili afanye mtihani tena. Na wakati huu asingetumia jina lake. Lilitafutwa jina la aliyeacha shule na kupewa mwanafunzi aliyerudia. Hawa wapo wengi na wengine ni mawaziri na ukofuatilia wengine walipata kuwa marais.Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu .
Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda .
Nina mashaka Makubwa na Elimu yake.
Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi.
Hatuwezi kuwa na Taifa la watu wanaochezea mifumo ya Elimu.
View attachment 3407669
Sahihi kabisa, ni kuanzia miaka ya 80 kurudi nyuma hadi maka ya sitini wakati elimu ya msingi ikiishia darasa la nane au la nne. Hao ndio wako Serikali na huko chamani mboga mboga na ndio wanaotuharibia nchi.Pamoja na kwamba simjui huyo mbunge ILA watu walisoma miaka ya 1990 kurudi nyuma wanatambua kuwa, shule za sekondari za Serikali zilikuwa chache sana, unakuta shule ya msingi darasa moja anachaguliwa mtoto mmoja au wawili hata kama mlikuwa magenious kwa sababu ya uchache wa nafasi
Utaratibu wa kurudia darasa (kujaribu bahati) haukuwa rasmi hivyo mtu akirudia alikuwa akipewa jina la mtoto aliye acha shule...na ndipo hapo waliosoma miaka hiyo wengine wanamajina tofauti tofauti kwa hiyo siwezi kushangaa; ila kama alifoji cheti huku juu hiyo ndio itakuwa habari tofauti.....ILA kama ni huko msingi mwache asonge mbele!
Ni la kwake kwa kuwa ndilo analotumia kula viapo ndani ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Je hilo jina ni la kwake?
Itakuwa Deed poll ilihusikaJohn Heche Chuoni SAUT alikuwa anaitwa WEGESA CHARLES.Maana yake HANA cheti chochote chenye jina la John Heche. Hapo una maoni gani?
Swali lako la kijinga sana ...nakushauri tumia akili kabla ya kuuliza swali. Ni sawa uuloze yesu au Jesus au issa ni jina la kiislamu au kikristoUnauhakika?
Nabii Joseph alikua mkristo?
Mimi awe amefoji hajafoji sina tatizo naye, tatizo langu ni rasilimali za nchi zinavyoibwa mchana kweupe sisi tumelala, elimu ya Tanzania ni ya kukaririshwa wala haina manufaa yoyote hivyo mimi siichukulii kivilePamoja na kwamba simjui huyo mbunge ILA watu walisoma miaka ya 1990 kurudi nyuma wanatambua kuwa, shule za sekondari za Serikali zilikuwa chache sana, unakuta shule ya msingi darasa moja anachaguliwa mtoto mmoja au wawili hata kama mlikuwa magenious kwa sababu ya uchache wa nafasi
Utaratibu wa kurudia darasa (kujaribu bahati) haukuwa rasmi hivyo mtu akirudia alikuwa akipewa jina la mtoto aliye acha shule...na ndipo hapo waliosoma miaka hiyo wengine wanamajina tofauti tofauti kwa hiyo siwezi kushangaa; ila kama alifoji cheti huku juu hiyo ndio itakuwa habari tofauti.....ILA kama ni huko msingi mwache asonge mbele!
Kuna vitu viwili Watanzania tunamatatizo na vinachangia kutuchelewesha kuendelea.Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu .
Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda .
Nina mashaka Makubwa na Elimu yake.
Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi.
Hatuwezi kuwa na Taifa la watu wanaochezea mifumo ya Elimu.
Huo ujinga niliukataa mwaka 1972 baada ya mzazi wangu kusuka mpango na mwalimu mkuu nikarudie sehemu nyingine kwa jina langu lisilo la ubatizo kwa sababu sikuchaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari....Mambo ya maisha haya
Watu wengi wamebadili
Majina kwa matumizi kadhaa
Ova