Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,729
- Thread starter
- #21
Naomba kujua ukweli
Kwanini huo utata utokee kwa wabunge wa ccm tuPamoja na kwamba simjui huyo mbunge ILA watu walisoma miaka ya 1990 kurudi nyuma wanatambua kuwa, shule za sekondari za Serikali zilikuwa chache sana, unakuta shule ya msingi darasa moja anachaguliwa mtoto mmoja au wawili hata kama mlikuwa magenious kwa sababu wa uchache wa nafasi
Utaratibu wa kurudia darasa (kujaribu bahati) haukuwa rasmi hivyo mtu akirudia alikuwa akipewa jina la mtoto aliye acha shule...na ndipo hapo waliosoma miaka hiyo wengine wanamajina tofauti tofauti na kwa wahenga sio jambo la ajabu kwa watu wa umri huo....
Sikuhizi mashule ni mengi hivyo sio rahisi mtu kuwa na jina tofauti
Ukweli utajulikanaWewe unachagua jina au Mbunge!
Jina ni Identity tu ,kwani ukiamua Yusufu itakusaidia nini?
Watu wenye akili ndogo kama wewe ni kuhangaika na vitu vidogo vidogo.
Kama huwezi kumuita Joseph Kakunda basi muite Yusufu Kakunda ili roho yako itulie.
Samia na viongozi waislamu wanampango wa kuitumia hiyo mbinu hata katika urais kuakikisha rais akakaye mfuata samia ni muislamu pia.Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda Ila yeye na familia yake ,pamoja na ukoo mzima ni waislamu .
Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu Ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda .
Nina mashaka Makubwa na Elimu yake .
Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi.
Hatuwezi kuwa na Taifa la watu wanaochezea mifumo ya Elimu.
Wanafoji vyeti ili iwejeSamia na viongozi waislamu wanampango wa kuitumia hiyo mbinu hata katika urais kuakikisha rais akakaye mfuata samia ni muislamu pia.
Tunataka tuondoe utata jamaa alknunua cheti inasemekanaMkuu Upo kwa mganga Nini?
Jina feki lazima lifanyiwe udadisi kuna kuwa na siri nyuma yake ..tumia akili hii ni popote duniani ...ukimwona mkristo anajifanya muislamu lazima uchukue tahadhari kubwa ...waislamu wengi wamehalibiwa mataifa yao kwa mbinu kama hizo kutoka kwa Waisraeli na mabeberu ya kizunguWewe unachagua jina au Mbunge!
Jina ni Identity tu ,kwani ukiamuita Yusufu itakusaidia nini?
Watu wenye akili ndogo kama wewe ni kuhangaika na vitu vidogo vidogo.
Kama huwezi kumuita Joseph Kakunda basi muite Yusufu Kakunda ili roho yako itulie
Unafuatilia maisha ya watu yatakusaidia nini fanya yako!Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu .
Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda .
Nina mashaka Makubwa na Elimu yake.
Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi.
Hatuwezi kuwa na Taifa la watu wanaochezea mifumo ya Elimu.
View attachment 3407669
Lazima tupate ukweli hauwezi Kununua cheti ukaachwaUnafuatilia maisha ya watu yatakusaidia nini fanya yako!
Hii issue is very serious Mkuu na jamaa ni musilamu pure sasa ikiwa alinunua cheti haifai kumbuka huyu Aliwahi kuwa waziriJina feki lazima lifanyiwe udadisi kuna kuwa na siri nyuma yake ..tumia akili hii ni popote duniani ...ukimwona mkristo anajifanya muislamu lazima uchukue tahadhari kubwa ...waislamu wengi wamehalobiwa mataifa yao kwa mbinu kama hizo kutoka kwa Waisraeli na mabeberu ya kizungu
Hakika achunguzweEother ame forge cheti or ni identity theft, hizo ni dalili za identity theft
Achunguzwe zaidi
Sawa sawaTunataka tuondoe utata jamaa alknunua cheti inasemekana
Lazima tuupate ukweliWewe unachagua jina au Mbunge!
Jina ni Identity tu ,kwani ukiamuita Yusufu itakusaidia nini?
Watu wenye akili ndogo kama wewe ni kuhangaika na vitu vidogo vidogo.
Kama huwezi kumuita Joseph Kakunda basi muite Yusufu Kakunda ili roho yako itulie.
Haya tuambie LEA ni ni niSawa