AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Mkuu naona kabla hatujakupa majibu ya maswali yako tumeshuhudia post yako imejaa sana mkwara! Umekuwa ukitutisha na kuchagua watu unaotaka wakujibu.Ukichukua Chupa ya lita 1 au lita 1½ yenye maji ya moto let say 100 degrees Celsius, ukaiweka kweenye ndoo yenye maji ya lita 20 ya baridi.
Utagundua kwamba hii chupa yenye maji ya moto baada ya kuizamisha kwenye ndoo ya lita 20 yenye maji ya baridi kwanza itaenda mpaka chini sababu ya uzito halafu utaiona imepanda juu kabisa ya maji na kuanza kuelea.
Swali la kwanza; Kwanini chupa inaelea?
Lakini pia utagundua kwamba hio chupa yenye maji ya moto itakaa hapo juu ya maji ya baridi kwa kipindi fulani tu. Utafika muda hayo maji yenye moto ndani ya chupa ya lita 1 au lita 1½ yatapo na joto lake litakua sawa na maji yaliyopo kwenye ndoo ya lita 20. Baada ya muda utaona chupa hio yenye maji ya lita 1 au lita 1½ inazama chini kabisa ya ndoo yenye maji ya lita 20.
Swali la pili; Kwanini chupa imezama?
Hapa nahitaji wenye akili ya kuona mambo kwa kina kirefu. Km unajijua wewe ni kilaza usijibu usichokielewa. Nataka watu makini tu wajibu haya maswali yangu.
Unaweza kujibu kwa kutumia Sayansi au utashi na uelewa wako wa kidunia ila tu uje kwenye jibu sahihi la kwanini?.
Karibu.
Wewe jibu unavyoelewa ila usilete utoto utoto kwenye uzi swali limenyooka hilo, unaona kwanini chupa inaelea na kwanini chupa inazama?Mkuu naona kabla hatujakupa majibu ya maswali yako tumeshuhudia post yako imejaa sana mkwara! Umekuwa ukitutisha na kuchagua watu unaotaka wakujibu.
Acha Ujuaji Punguani wewe!Wewe jibu unavyoelewa ila usilete utoto utoto kwenye uzi swali limenyooka hilo, unaona kwanini chupa inaelea na kwanini chupa inazama?
Ni sawa nikuulize kwanini maji ya bahari ukiyaangalia unaona yana rangi ya Blue au Kijani, je maji ya bahari yana rangi? Jibu swali
Huyu Punguani anauliza maswali ambayo tulijiuliza miaka 30 iliyopitaMkuu naona kabla hatujakupa majibu ya maswali yako tumeshuhudia post yako imejaa sana mkwara! Umekuwa ukitutisha na kuchagua watu unaotaka wakujibu.
Ukichukua Chupa ya lita 1 au lita 1½ yenye maji ya moto let say 100 degrees Celsius, ukaiweka kweenye ndoo yenye maji ya lita 20 ya baridi.
Utagundua kwamba hii chupa yenye maji ya moto baada ya kuizamisha kwenye ndoo ya lita 20 yenye maji ya baridi kwanza itaenda mpaka chini sababu ya uzito halafu utaiona imepanda juu kabisa ya maji na kuanza kuelea.
Swali la kwanza; Kwanini chupa inaelea?
Lakini pia utagundua kwamba hio chupa yenye maji ya moto itakaa hapo juu ya maji ya baridi kwa kipindi fulani tu. Utafika muda hayo maji yenye moto ndani ya chupa ya lita 1 au lita 1½ yatapo na joto lake litakua sawa na maji yaliyopo kwenye ndoo ya lita 20. Baada ya muda utaona chupa hio yenye maji ya lita 1 au lita 1½ inazama chini kabisa ya ndoo yenye maji ya lita 20.
Swali la pili; Kwanini chupa imezama?
Hapa nahitaji wenye akili ya kuona mambo kwa kina kirefu. Km unajijua wewe ni kilaza usijibu usichokielewa. Nataka watu makini tu wajibu haya maswali yangu.
Unaweza kujibu kwa kutumia Sayansi au utashi na uelewa wako wa kidunia ila tu uje kwenye jibu sahihi la kwanini?.
Karibu.
Chupa haina kitu ndani nani amekwambia au umesoma kwa kukurupuka?, rudia tena kusoma halafu hizo lugha ulizokuja nazo mimi ndio mtunzi kwa hio kua makini usije ukachafua uziAcha Ujuaji Punguani wewe!
Chupa inaelea kwasababu haina kitu ndani na chupa inazama ikiwa na kitu ndani!
Hiyo ndiyo maana halisi
Acha Ujuaji wewe dogo,Toka lini chupa isiyokuwa na kitu ndani ikazama?,Huo utafiti wako umeufanyia wapi?Chupa haina kitu ndani nani amekwambia au umesoma kwa kukurupuka?, rudia tena kusoma halafu hizo lugha ulizokuja nazo mimi ndio mtunzi kwa hio kua makini usije ukachafua uzi
Jibu;Naomba kujua machache kwenye swali lako
1. Hiyo chupa yenye maji ya moto, ni ya plastik, kioo au bati?
2. Je, maji yamejaa kwenye hiyo chupa au ina nafasi yenye hewa?
Rudi juu kule ukasome nyinyi vilaza ndio nilitaka msivamie uzi, nimesema chupa ya lita 1 yenye maji ya moto acha kukurupukia uzi usiouelewa km hauelewi acha wenye uelewa wajibu maswaliAcha Ujuaji wewe dogo,Toka lini chupa isiyokuwa na kitu ndani ikazama?,Huo utafiti wako umeufanyia wapi?
DUNIA IMEKUWA NYEPESI.Ukichukua Chupa ya lita 1 au lita 1½ yenye maji ya moto let say 100 degrees Celsius, ukaiweka kweenye ndoo yenye maji ya lita 20 ya baridi.
Utagundua kwamba hii chupa yenye maji ya moto baada ya kuizamisha kwenye ndoo ya lita 20 yenye maji ya baridi kwanza itaenda mpaka chini sababu ya uzito halafu utaiona imepanda juu kabisa ya maji na kuanza kuelea.
Swali la kwanza; Kwanini chupa inaelea?
Lakini pia utagundua kwamba hio chupa yenye maji ya moto itakaa hapo juu ya maji ya baridi kwa kipindi fulani tu. Utafika muda hayo maji yenye moto ndani ya chupa ya lita 1 au lita 1½ yatapo na joto lake litakua sawa na maji yaliyopo kwenye ndoo ya lita 20. Baada ya muda utaona chupa hio yenye maji ya lita 1 au lita 1½ inazama chini kabisa ya ndoo yenye maji ya lita 20.
Swali la pili; Kwanini chupa imezama?
Hapa nahitaji wenye akili ya kuona mambo kwa kina kirefu. Km unajijua wewe ni kilaza usijibu usichokielewa. Nataka watu makini tu wajibu haya maswali yangu.
Unaweza kujibu kwa kutumia Sayansi au utashi na uelewa wako wa kidunia ila tu uje kwenye jibu sahihi la kwanini?.
Karibu.
maji ya bahari hayana rangi ile rangi ya blue huwainaakisiwa na mawingu ndo maana unaona blue kwenye maji.Wewe jibu unavyoelewa ila usilete utoto utoto kwenye uzi swali limenyooka hilo, unaona kwanini chupa inaelea na kwanini chupa inazama?
Ni sawa nikuulize kwanini maji ya bahari ukiyaangalia unaona yana rangi ya Blue au Kijani, je maji ya bahari yana rangi? Jibu swali
Kwanza huu ulikua ni mfano ndio maana nikasema let say sikua na maana kwamba ni 100 degrees Celsius per se,Pia, usitumie chupa ya kawaida ya plastiki kwa maji ya 100°C, kwa sababu inaweza kulainika au kuharibika.