Naomba watu wenye uelewa wa juu wanijibu haya maswali mawili

kwa kifupi naweza kusema;
1. Maji yakichemka yanatanuka na hivyo kuwa mepesi, kuliko maji yaliyopoa; hivyo,
2. Ukijaza chupa maji yanayochemka, inaelea kwa kuwa maji yaliyoko ndani ni mepesi kuliko maji ya nje (yaliyoizunguka)
3. Baada ya maji ya ndani ya chupa kupoa/kulingana joto; Chupa inazama kwa kuwa, density ya maji ya ndani na nje inalingana lakini chupa (ile container) ina density kubwa kuliko maji na hivyo kuifanya izame chini...
 
Huyu Punguani anauliza maswali ambayo tulijiuliza miaka 30 iliyopita

Ni kwanini Sindano ya kushonea nguo inazama kwenye maji lakini meli kubwa kuzidi sindano yenyewe haizami!

Huyu dogo ni Bonge la Punguani!
Hapo brother k
Swali lako ni zuri sana. Hapa unagusa kanuni mbili muhimu za fizikia: Density (msongamano wa kitu) na Buoyancy (nguvu ya maji ya kusukuma kitu kuelekea juu).

Hebu tuchambue hatua kwa hatua.

### 1\. Kwa nini chupa ya maji ya moto inaelea juu?

หลักการของอาร์คิมิดีส (Archimedes' principle) และนักดำน้ำคาร์ทีเซียน' principle) และนักดำน้ำคาร์ทีเซียน

Kuna sababu kuu mbili za kuelewa:

A. Maji ya moto yana msongamano mdogo kuliko maji ya baridi.

Maji yanapopata joto, kwa kawaida hupanuka. Hii ina maana kwamba kiasi kilekile cha maji kinakuwa na ujazo mkubwa zaidi, lakini uzito wake haubadiliki.

Kwa hiyo, density yake inapungua.

B. Nguvu ya maji ya kusukuma chupa kuelekea juu (Buoyancy).

Chupa inapokuwa ndani ya maji, maji ya ndoo huisukuma kuelekea juu. Ikiwa nguvu hii inatosha kuhimili uzito wa chupa, chupa huelea.

### 2\. Kwa nini chupa inazama baada ya maji ya moto kupoa?

Astrophysics for Kids! 25 Easy Experiments to Do at Home — Jolie Canoli

Hapa ndipo jambo la kuvutia linapotokea.

* Mwanzoni maji ndani ya chupa yana joto kubwa.

* Maji hayo yanaanza kupoteza joto kwenda kwenye maji ya ndoo.

* Yanapopoa, ujazo wake kwa kawaida unapungua.

* Density yake inaongezeka.

* Uzito wa chupa haujapungua, lakini hali ya msongamano wa mfumo mzima inabadilika.

Hata hivyo, kuna jambo muhimu la kusahihisha: Kupoa kwa maji pekee hakumaanishi moja kwa moja kwamba chupa itazama.

Kama chupa imefungwa vizuri na haibadilishi ujazo wake, chupa ya plastiki yenye hewa ndani inaweza kuendelea kuelea hata baada ya maji kufikia joto la kawaida.

Ili izame, wastani wa density ya chupa nzima (chupa + maji + hewa iliyobaki) lazima uwe mkubwa kuliko density ya maji ya nje.

### 3\. Kanuni muhimu ya fizikia

Archimedes' Principle

Kitu kinachozama ndani ya kimiminika hupata nguvu ya kusukumwa kuelekea juu inayolingana na uzito wa kimiminika kilichohamishwa na kitu hicho.

Eureka! The Archimedes Principle | Live Science

* Kama nguvu ya buoyancy ni kubwa au sawa na uzito wa kitu, kinaelea.

* Kama uzito wa kitu ni mkubwa kuliko buoyancy inayopatikana, kinazama.

### Nina swali moja muhimu kuhusu jaribio lako:

Je, chupa unayotumia ni ipi?

* Chupa ya plastiki iliyojazwa maji ya moto na kufungwa kwa kifuniko.

* Chupa ya plastiki iliyojazwa maji ya moto bila kifuniko.

* Chupa ya kioo iliyojazwa maji ya moto na kufungwa.

Hili ni muhimu kwa sababu kila aina inaweza kutoa matokeo tofauti. Pia, usitumie chupa ya kawaida ya plastiki kwa maji ya 100°C, kwa sababu inaweza kulainika au kuharibika.
Aisee Aya madinii..🔥
 
3. Baada ya maji ya ndani ya chupa kupoa/kulingana joto; Chupa inazama kwa kuwa, density ya maji ya ndani na nje inalingana lakini chupa (ile container) ina density kubwa kuliko maji na hivyo kuifanya izame chini...
Mkuu kwanza umetisha sana nahisi wewe ndio umetoa jibu sahihi zaidi, nashukuru sana mkuu.
 
Huyu Punguani anauliza maswali ambayo tulijiuliza miaka 30 iliyopita

Ni kwanini Sindano ya kushonea nguo inazama kwenye maji lakini meli kubwa kuzidi sindano yenyewe haizami!

Huyu dogo ni Bonge la Punguani!
Wenye akili timamu na wenye uelewa wa juu wametoa majibu sahihi, wewe shogamzoefu itisha mabasha zako wakufire usituletee mkunduwako unaonuka hapa, Qumamako
 
Hii thread ishaharibika , mtoa mada jifunze pia communication skills, maana thread Yako nzurii lkn maneno uliyotumia sio mazurii . Unaweza jiona kwlei upo sahihi lkn umeshindwaa kutumia lugha nzurii ya stara kuwavutia audience .... Kwa kuwadogosha au kutumia kebehii mwisho wa thread Yako, wengine kuwajibu vbaya .

Yote na yote thread ni nzurii kiukwlei nimepata madini kupitia thread Yako kwani wengine tupo kujifunza..
 
Huyu shogamzoefu TUKANA UONE alikua ameepotea njia akafikiri mimi ndio wale wale anaowasogezea kinyeo chake kila anapojisikia, of course nimempa anachostahiri na majibu ya swali langu wenye akili na uelewa wa juu wameshanijibu kwa hio yale maswali niliyokua najiuliza nimeshapata majibu, kuhusu suala zima la communication skills ninatumia kitu kinaitwa classic self-assertiveness strategy kwa hio ukija kifalafala na ukanionyesha ushogawako kwenye uzi na nimeshasema pale awali kwenye huu uzi sitaki mashoga mfano km huyu TUKANA UONE shogamzoefu anaacha kwenda kujibizana na BICHWA KOMWE - na cocastic anakuja kujibu ushoga ushoga kwenye huu uzi na alishaona nimesema nataka watu wenye uelewa wa hali ya juu ndio wajibu swali, nitakupokea km ulivyokuja
 
Daaah maneno yako yananichanganya.
 
Jibu;

1. Chupa ni ya plastic

2. Maji yanakua yamejaa kabisa kwenye chupa ila sababu ya joto utagundua kuna unafasi unakuwepo ndani ya chupa

Nipe majibu ya maswali sasa
Kwahiyo chupa ya plastik ina maji yenye nyuzi joto 100?
Sawa, tunaanza kwanza kuna kanuni inayosema joto linalopotea ni sawa na joto linaloongezeka.

Inamaana maji yenye joto kali zaidi yatapunguza joto wakati ysle yenye joto la chini yatapanda ili mwishowe yawe kwenye joto linalolingana. Ndio maana maji ya kwenye chupa yatapoa.

Hapo imebaki kuzama na kuelea kwa chupa kutokana na mabadiliko ya joto na kama ulivyoelezea ile nafasi inayokuwepo kutokana na joto la maji inaathiri hilo zoezi.

Acha nipate kwanza mihogo na kachumbari yenye chachandu za kutwanga kwenye kinu ntarejea baadae.
 
Nimekuele
Huyu shogamzoefu TUKANA UONE alikua ameepotea njia akafikiri mimi ndio wale wale anaowasogezea kinyeo chake kila anapojisikia, of course nimempa anachostahiri na majibu ya swali langu wenye akili na uelewa wa juu wameshanijibu kwa hio yale maswali niliyokua najiuliza nimeshapata majibu, kuhusu suala zima la communication skills ninatumia kitu kinaitwa classic self-assertiveness strategy kwa hio ukija kifalafala na ukanionyesha ushogawako kwenye uzi na nimeshasema pale awali kwenye huu uzi sitaki mashoga mfano km huyu TUKANA UONE shogamzoefu anaacha kwenda kujibizana na BICHWA KOMWE - na cocastic anakuja kujibu ushoga ushoga kwenye huu uzi na alishaona nimesema nataka watu wenye uelewa wa hali ya juu ndio wajibu swali, nitakupokea km ulivyokuja

Changamoto.l kwlei kwlei.
Ngoja nikasome iyo strategy Yako unayotumia niongezee vitu vipya .
 
Back
Top Bottom