Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Au haya yamkute mwenye kumbukumbu isiyotoka, atasahauTumuombee naye afe Ndio dawa inayoweza kukusaidia usahau.
Kwa kifupi kifo cha JPM kina utata mkubwa ila tunajifanya Tanzania ni nchi ya Amani Sio kweli.Hao walikuwa wanajuwa hata kilichokea KABLA, achana na kile kilichotokea baadaye..!!
Hao walikuwa wanajuwa hata kilichokea KABLA, achana na kile kilichotokea baadaye..!!
Hao walikuwa wanajuwa hata kilichokea KABLA, achana na kile kilichotokea baadaye..!!
Tatizo wengi hatujui tofauti kati ya amani na woga..!! Nyerere aliomba Mungu amsamehe kama ametengeneza taifa la watu waoga sanaKwa kifupi kifo cha JPM kina utata mkubwa ila tunajifanya Tanzania ni nchi ya Amani Sio kweli.
'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
Kwa kifupi kifo cha JPM kina utata mkubwa ila tunajifanya Tanzania ni nchi ya Amani Sio kweli.
huwenda hata waziri hakuwa anajua kinacho endelea au hadi anatoa hilo tamko ni kweli magufuli alikuwa mzima. Nini kilitokea baadae? Wanajua wao
Tena kasema ameongea nayeKorogwe, Tanga: Mama Samia asema Rais Magufuli anawataka wananchi kuchapa kazi na kujenga upendo
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema Rais John Magufuli amemuagiza kuwakumbusha Wananchi wa Tanga kuchapa kazi ili kuharakisha Maendeleo ya Mkoa huo Amesema, "Rais pia anawataka mzitumie fursa muhimu za kiuchumi zinazoletwa na Serikali kupitia Sekta ya Kilimo, Uwekezaji katika Viwanda...www.jamiiforums.com
Hii ni hotuba ya Samia tar 15.3.2021 JPM akafariki tarehe 17.3.2021 . Hamuoni muunganiko jamaniKorogwe, Tanga: Mama Samia asema Rais Magufuli anawataka wananchi kuchapa kazi na kujenga upendo
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema Rais John Magufuli amemuagiza kuwakumbusha Wananchi wa Tanga kuchapa kazi ili kuharakisha Maendeleo ya Mkoa huo Amesema, "Rais pia anawataka mzitumie fursa muhimu za kiuchumi zinazoletwa na Serikali kupitia Sekta ya Kilimo, Uwekezaji katika Viwanda...www.jamiiforums.com
Samia Ali husika 100%Tena kasema ameongea naye
Niwashukuru kwamba nimeweza kusimama tumesalimiana, ninalotaka kuwahakikishia ndugu zangu, Tanzania tuko salama, Tanzania tuko salama. Ni kawaida ya mwanadamu kukaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile.Korogwe, Tanga: Mama Samia asema Rais Magufuli anawataka wananchi kuchapa kazi na kujenga upendo
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema Rais John Magufuli amemuagiza kuwakumbusha Wananchi wa Tanga kuchapa kazi ili kuharakisha Maendeleo ya Mkoa huo Amesema, "Rais pia anawataka mzitumie fursa muhimu za kiuchumi zinazoletwa na Serikali kupitia Sekta ya Kilimo, Uwekezaji katika Viwanda...www.jamiiforums.com
"Rais amenipigia simu jana kuniambia anatuma pesa za maendeleo" Robert Chalamila aka Ray C.'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
Waziri mkuuhuwenda hata waziri hakuwa anajua kinacho endelea au hadi anatoa hilo tamko ni kweli magufuli alikuwa mzima. Nini kilitokea baadae? Wanajua wao
Ndio. Kwani viongozi wanapo pinduliwa madarakani wanakuwa wanajua? Unashangaa tu hili na lile linatokea bila kujulishwaWaziri mkuu
Siwe wenyewe inatutesa kama wewe'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
Huenda pia hii kauli ndio ilimuua magufuli maana huwezi kuwa ICU halafu umsikie msaidizi wako anawaambia watu uko ofisini lazima kuna namna utafeelhuwenda hata waziri hakuwa anajua kinacho endelea au hadi anatoa hilo tamko ni kweli magufuli alikuwa mzima. Nini kilitokea baadae? Wanajua wao
πππ Miti ipi?Dawa nenda kapigwe miti tu mkuu. Ni dawa mujarab kabisa
Kuwa mstaarabu, hata kama mna visa vyenu, si kiivyoDawa nenda kapigwe miti tu mkuu. Ni dawa mujarab kabisa