Naombeni Dawa ya Kuisahau hii Kauli inayokataa kabisa kutoka Ubongoni mwangu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Naombeni Dawa ya Kuisahau hii Kauli inayokataa kabisa kutoka Ubongoni mwangu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Hao walikuwa wanajuwa hata kilichokea KABLA, achana na kile kilichotokea baadaye..!!
Hao walikuwa wanajuwa hata kilichokea KABLA, achana na kile kilichotokea baadaye..!!
 
Kwa kifupi kifo cha JPM kina utata mkubwa ila tunajifanya Tanzania ni nchi ya Amani Sio kweli.
Tatizo wengi hatujui tofauti kati ya amani na woga..!! Nyerere aliomba Mungu amsamehe kama ametengeneza taifa la watu waoga sana
 
'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
 
Kwa kifupi kifo cha JPM kina utata mkubwa ila tunajifanya Tanzania ni nchi ya Amani Sio kweli.
 
huwenda hata waziri hakuwa anajua kinacho endelea au hadi anatoa hilo tamko ni kweli magufuli alikuwa mzima. Nini kilitokea baadae? Wanajua wao
 
Hii ni hotuba ya Samia tar 15.3.2021 JPM akafariki tarehe 17.3.2021 . Hamuoni muunganiko jamani
 
Niwashukuru kwamba nimeweza kusimama tumesalimiana, ninalotaka kuwahakikishia ndugu zangu, Tanzania tuko salama, Tanzania tuko salama. Ni kawaida ya mwanadamu kukaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile.

Lakini nataka niwaambie kwamba katika wakati muhimu watanzania kushikamana ni wakati huu, kujenga umoja, ni wakati huu. Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje nasi yakatuparaganya vichwa.
 
'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
Siwe wenyewe inatutesa kama wewe
 
huwenda hata waziri hakuwa anajua kinacho endelea au hadi anatoa hilo tamko ni kweli magufuli alikuwa mzima. Nini kilitokea baadae? Wanajua wao
Huenda pia hii kauli ndio ilimuua magufuli maana huwezi kuwa ICU halafu umsikie msaidizi wako anawaambia watu uko ofisini lazima kuna namna utafeel
 
Back
Top Bottom