Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

Mi mbona siku zote nipo hivo ms....
Sema mara moja moja shangazi atakagi niwe naamka na simu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ushanikwaza tayar,,umetaja shangaz nkajua umebadilikaπŸ˜«πŸ˜«πŸšΆπŸΎβ€β™€οΈ
 
Yaaani wee acha now nimekua matured sifati mtu mpaka nihakikishe kwa kupitia nyuzi zake hata 5..

Kuna mmoja hivo hivo katika story mbili tatu kumbe ni fundi mafriji.

Nikawa najiuliza kweli fundi + mafriji alafu awe wa kike...
Nikajiongeza tu nikasema mwamba tupambane bana pesa haipatikan simple hivo kaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.

Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.

Unajiuliza nini hiki sasa.

Sio mbaya kujaribu pengine ikawa kweli.

Basi unajaribu kuzama PM unakuta imefungwa.

Kumuanzishia thread haijakaa poa.

Hapa najua kuna mavetelani kwenye hili swala.

Note: kama mambo yakienda vizuri, sito mchezea.
Shida ni pale utatongozza shemeji yako ama dada yako.
 
Ms R huyu nae shangazi au nimezingua..πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ushapewa mbinu.....mie nakupa nyongeza tu ukishapata chance ya kufika pm ingia na miguu miwili salimia, jitambulishe sema nia yako.

Sio unaenda pm vipi my niambie, sa uambiwe nini?? Kakuambia anataka kukwambia kitu?? We mwenye nacho ndio useme.
Au salamu nyiiiiingi, mambo, unajibiwa poa, za huko.....huku wapi???!!!
Et niambie mahi πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Back
Top Bottom