Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Shangazi umeanza kutupanga!Jf ina wanawake 6 tu hadi kufikia march 2024 (za ndani kabisa hizi)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangazi umeanza kutupanga!Jf ina wanawake 6 tu hadi kufikia march 2024 (za ndani kabisa hizi)
mi nipo tu juu ya gorofa nawaangalia wanajf wote 😹Wewe upo wapi sasa mbona tunatishana 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mshangazi.....Shangazi umeanza kutupanga!
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌.mi nipo tu juu ya gorofa nawaangalia wanajf wote 😹
Mm hayo mengine yatampotezea muda sjui kulike mapost na ku quote unakua unaonekana kama mwendawazimu hivi🤣Hiyo ni chaguo la mwisho kama hayo mengine yakifail
Ujambo....🚶🏾♀️
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌.
Au sio.
Ndo wale wakifuatwa pm unakuta mtu ana charting ya kibabe sana adi unastuka khaaaaa... Kumbe
hakika maombi nloomba leo yametenda😌🙌🏾😂umekumbka kusalimia,, sjambo hujambo....Ujambo....
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hahahaha nmecheka jaman 😂😂😂😂😂😂Inauma sana....imagine unamfata pm mrembo "hello mambo dear" anajibu ni aje aje mzeiya 🥹
Sikiliza kwa makini mbinu zitolewazo na k, kama ni pepa limevuja hilo.....Mm hayo mengine yatampotezea muda sjui kulike mapost na ku quote unakua unaonekana kama mwendawazimu hivi🤣
Mshangazi.....
It works 👍😇Fanya kwanza ajue una exist, anza kuwa serious na comments zake, like za hapa na pale, unamquote mara chache chache ile tu kirafiki, usivuke mipaka wala usilete utani wa hovyo kabla hajakuzoea, ukiporomoshewa mvua ya maneno mabaya sitakuwepo..!!
Mengine watakufunza wajuba wenzio, nisije maliza siri za kikeni nikatimuliwa kwenye chama..!!🙌
Yaaani wee acha now nimekua matured sifati mtu mpaka nihakikishe kwa kupitia nyuzi zake hata 5..Inauma sana....imagine unamfata pm mrembo "hello mambo dear" anajibu ni aje aje mzeiya 🥹
Nawe wataka kutuma vocha kama lile gawio la tigo sio??Pisi za humu Vocha tu zinataka 50k.
Ova
Mi mbona siku zote nipo hivo ms....hakika maombi nloomba leo yametenda😌🙌🏾😂umekumbka kusalimia,, sjambo hujambo....
😂😂😂😂😂😂😂umeamkia upande gan we mtu leoNawe wataka kutuma vocha kama lile gawio la tigo sio??
Msg inaingi TIGOPESA umepokea gawio la mwezi kutoka tigo tsh 64. Hakuna TOZO unapotuma pesa na Tigo pesa
🥹
Sasa Tsh 64 unafanyia nini et 😂😂😂😂Nawe wataka kutuma vocha kama lile gawio la tigo sio??
Msg inaingi TIGOPESA umepokea gawio la mwezi kutoka tigo tsh 64. Hakuna TOZO unapotuma pesa na Tigo pesa
🥹
Kwahiyo ulimtongoza fundi 🤣🤣🤣🤣Yaaani wee acha now nimekua matured sifati mtu mpaka nihakikishe kwa kupitia nyuzi zake hata 5..
Kuna mmoja hivo hivo katika story mbili tatu kumbe ni fundi mafriji.
Nikawa najiuliza kweli fundi + mafriji alafu awe wa kike...
Nikajiongeza tu nikasema mwamba tupambane bana pesa haipatikan simple hivo kaka 😂😂😂😂😂😂