Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.

Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.

Unajiuliza nini hiki sasa.

Sio mbaya kujaribu pengine ikawa kweli.

Basi unajaribu kuzama PM unakuta imefungwa.

Kumuanzishia thread haijakaa poa.

Hapa najua kuna mavetelani kwenye hili swala.

Note: kama mambo yakienda vizuri, sito mchezea.
Upo sahihi! Vijana wengi wanakosa bahati za kupata wenzi kutokana na PM kufungwa. Likewise wanaofunga PM wana uhalali wa kufunga PM zao kutokana na kusumbuliwa kila mara na hit and run.

Huwezi kumtafuta mwanamke aliyejifungia, bila kupata ufunguo. Ufunguo huwa ni mwanamke mwenzake.

Wanawake ambao wana ufunguo, PM zao huwa wazi siku zote. Zama kwao na waombe wakuunganishe. Ila usisahau, hiyo ni kazi na lazima uilipie. Jaribu ikikusaidia usimchezee huyo unayemtaka.
 
Nikioa tu milango mingine nafunga Bahati nzuri mi ni mtu wa kutulia sehem moja mapenzi yamenipitia kushoto kwanza nikionyeshwa napendwa sana naona ni kero
Aya hongera Mungu akujaalie
Nataka nipate wifi mie nilete vyombo 😃
 
Bado nachagua na noticeboard chumbani nimebandika picha za wanawake ambao sijawatongoza na yako ikiwepo bado naumiza kichwa kuchagua ili nianze kutuma maombi
Hiyo Kali😂😂😂
Fikiria Tena mkuu na uzee huu lishangazi kama mm
Chagua chagua vijana under 23 watakufaa
 
Fanya kwanza ajue una exist, anza kuwa serious na comments zake, like za hapa na pale, unamquote mara chache chache ile tu kirafiki, usivuke mipaka wala usilete utani wa hovyo kabla hajakuzoea, ukiporomoshewa mvua ya maneno mabaya sitakuwepo..!!

Mengine watakufunza wajuba wenzio, nisije maliza siri za kikeni nikatimuliwa kwenye chama..!!🙌
Wewe kiboko😃😃😃
 
Mkishakubaliana kila kitu hakikisha haka ka kipimo kapo mezani kabisa.
 

Attachments

  • Screenshot_20240516_090713_Google.jpg
    Screenshot_20240516_090713_Google.jpg
    256.8 KB · Views: 4
Back
Top Bottom