Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Kama umemuelewa yeye hajakuelewa hata ufanye lipi huwezi kumpata
Tafuta hapo mtaani kijana na wewe unakwama wapi?
Tafuta hapo mtaani kijana na wewe unakwama wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe mbwinu za kuingia kwako😊Weh sichezei biblia ila najua jinsi yakumfanya mtu aingie kingi chapu
asante kwa kunisanua kumbe ndo mbinu hii😂😂🏃🏾♀️
Umeamua kutoa mbinu kwa vitendo 😂Weeeeeh weeeeh weeeeeh hatareee hiyo 😂😂😂
Poor Brain anatoa mbinu kwa vitendo siyo vibaya ukitoa ushirikiano ili mleta mada apate kujifunza 😂asante kwa kunisanua kumbe ndo mbinu hii😂😂🏃🏾♀️
Kudadadeki kuna Watu mna Maujuzi hatari.Tafuta thread ya miaka ya zamani huko hata 2008 huko ambazo hazina comments nyingi nyingi Mtag halafu muendelee Huko
Asifanye huo ujinga, sio wote wanapenda sifaMwanzishie thread tu... hamna kingine hapo wanapenda sifa sana
Hamna bhana, ushauri tu ametaka😃Kudadadeki kuna Watu mna Maujuzi hatari.
Jamani😃😂😂😂🙌Bonge la ushauri aisee
Achana na hayo mawazo.Utajikuta umetongoza mjomba wako(mwanaume kabisa).Tulia.Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine ikawa kweli.
Basi unajaribu kuzama PM unakuta imefungwa.
Kumuanzishia thread haijakaa poa.
Hapa najua kuna mavetelani kwenye hili swala.
Note: kama mambo yakienda vizuri, sito mchezea.
Sawasawa😃🙌Mbinu kali sana hii
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌 Aiseeeee
Za 2023 hazifai? Nitupe ndoano nami 🏃🏃Tafuta thread ya miaka ya zamani huko hata 2008 huko ambazo hazina comments nyingi nyingi Mtag halafu muendelee Huko
Ndomana nimekwambia za zamani sana, means hata wachangiaji wake walishaachaga kutumia Jf au walishakufa wengine..Nzuri,
Ila sema mkishaweka comment na watu wengine wanakuja.
Anataka akuwoweWewe umeoa au ndio kazi kuwaungisha watu na huku unahesabu mabati
Huko ukimtag nasisi tutakuja sasa, tafuta za zamani sana nahisi hata watu wengine walishakufagaZa 2023 hazifai? Nitupe ndoano nami 🏃🏃
👋👋Huko ukijtag nasisi tutakuja sasa, tafuta za zamani sana nahisi hata watu wengine walishakufaga
Sawasawa😂🫡