Naombeni mnisaidie kumwelewa huyu ndugu yangu, Kila nikiongea naye lazima aniulize kuhusu kazi na biashara zangu

Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa..

Yaani kila nikiongea naye kwenye simu au nikikutana nae

1) Ataniuliza kazi nliyo-apply imeendaje..
2) Ataniuliza vile vyombo vya usafiri nlivonunua bado vipo, au nimeuza.
3) Kama ni kwenye simu Ataniuliza niko wapi.

Kuulizwa haya maswali mara moja moja ni sawa, ila kama mtu ananiuliza kila nikiongea naye kwenye simu, au Nkionana nae, kwa miaka 5 mfululizo namshangaa, bcoz huyo ndugu hawezi nisaidia connection ya Kazi ya maana, au hata million 2 niongeze mtaji, sasa sababu ya kuniuliza ivo kila mara ni nini? Ukizingatia sijawahi kuwomba hela, sijawahi kumlalamikia changamoto za kibiashara, na sijawahi kumwomba ushauri kwenye mambo ya utafutaji.

Najiuliza ananiuliza hivi ili aone atanipa heshima ya namna gani? Au nsipo kua na ivo vitu nitaacha kuwa ndugu yake?

Najiuliza mbona mm sinaga interest ya kujua kazi na biashara za watu Kwa undani?

Wenye uzoefu na binadamu wa aina hii naomba anieleweshe
Bro mbona unakereka kitu kidogo sana. Mtu anaekujulia hali anakutakia mema au wewe ushaanza kuwa na wazo hasi juu yake.
 
Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa..

Yaani kila nikiongea naye kwenye simu au nikikutana nae

1) Ataniuliza kazi nliyo-apply imeendaje..
2) Ataniuliza vile vyombo vya usafiri nlivonunua bado vipo, au nimeuza.
3) Kama ni kwenye simu Ataniuliza niko wapi.

Kuulizwa haya maswali mara moja moja ni sawa, ila kama mtu ananiuliza kila nikiongea naye kwenye simu, au Nkionana nae, kwa miaka 5 mfululizo namshangaa, bcoz huyo ndugu hawezi nisaidia connection ya Kazi ya maana, au hata million 2 niongeze mtaji, sasa sababu ya kuniuliza ivo kila mara ni nini? Ukizingatia sijawahi kuwomba hela, sijawahi kumlalamikia changamoto za kibiashara, na sijawahi kumwomba ushauri kwenye mambo ya utafutaji.

Najiuliza ananiuliza hivi ili aone atanipa heshima ya namna gani? Au nsipo kua na ivo vitu nitaacha kuwa ndugu yake?

Najiuliza mbona mm sinaga interest ya kujua kazi na biashara za watu Kwa undani?

Wenye uzoefu na binadamu wa aina hii naomba anieleweshe
Mmh usimwamin San anawez akawa kuna mamb ya kishirikina anakufanyia kwahiyo anakuuliza kujua maendeleo ya Kaz anayofanya.. me nahc hivy 2
 
Kakuweka kwenye rada nyeusi🤣anataka kupata mrejesho wa makombora anayokupiga kama yanafanya kazi 🤣🤣
 
Back
Top Bottom