Naombeni mnisaidie kumwelewa huyu ndugu yangu, Kila nikiongea naye lazima aniulize kuhusu kazi na biashara zangu

Bro mbona unakereka kitu kidogo sana. Mtu anaekujulia hali anakutakia mema au wewe ushaanza kuwa na wazo hasi juu yake.
 
Itakuwa kagundua katabia kako kakuhonga hovyo madem hasa ukiwa umelewa,ndio Maana anaulizia
 
Mmh usimwamin San anawez akawa kuna mamb ya kishirikina anakufanyia kwahiyo anakuuliza kujua maendeleo ya Kaz anayofanya.. me nahc hivy 2
 
Kakuweka kwenye rada nyeusi🤣anataka kupata mrejesho wa makombora anayokupiga kama yanafanya kazi 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…