Naombeni msaada wa haraka, NMB wamenikalia kooni

Mkuu, ebu msome tenaa..

1. Hiyo 5.6M ndio ipo ndani ya ile 9. something Milion ambayo aliitoa bank.

5. Alikubali kuwa hiyo pesa iliyozidi, yaani 4.something Milion ni kweli ameitoa toka kwenye account yake.
 
Mkuu, ebu msome tenaa..

1. Hiyo 5.6M ndio ipo ndani ya ile 9. something Milion ambayo aliitoa bank.

5. Alikubali kuwa hiyo pesa iliyozidi, yaani 4.something Milion ni kweli ameitoa toka kwenye account yake.
Ndio ilivyo hasa,
Na lengo Mimi sio kukataa kuwa nadaiwa Bali , ni namna ya kulipa Hilo Deni pole pole bila kuathiri mshahara wote,

Kwasasa sioni tofauti kabisa ya makosa niliyofanya Mimi na haya makosa wanayofanya NMB
 
Mkuu, ebu msome tenaa..

1. Hiyo 5.6M ndio ipo ndani ya ile 9. something Milion ambayo aliitoa bank.

5. Alikubali kuwa hiyo pesa iliyozidi, yaani 4.something Milion ni kweli ameitoa toka kwenye account yake.
Kama ni hivyo alipe tu,maana kama hakuwa na hela inayobaki hakutakiwa kutumia hela ambayo hajui imetoka wapi,ina maana si yake
 
Thanks again, Mungu ni mwema nitatoka hapa
Mkuu mwandikie manager wa bank na mpe picha halisi na uombe mfanye amicable settlement kuliko kutumia nguvu, ungekua mwizi ungepiga mpunga na kuhama. Build your confidence ,andika kwa lugha very professional lakin pia very polite (not apologetic). Watakuelewa tu
 
Nashindwa kukusaidia kwa vile hupendi kutoa ushirikiano kuhusu kwa nini uliamua kutumia pesa zote wakati ukijua si halali yako.
 
Miezi 8 bado deni halijaisha million 4 mshahara gani uo acha kazi tafuta shuguli nyingine ila ujue hilo deni huwa halipotei la sivyo hutakopa katika benk yoyote wanaambiana pole sana yalinikuta ayo
 
Nashukuru Sana kwa ushauri wenu lakini Kuna Mambo ambayo wengine hawayaoini...
1. Kwanza matumizi ya iyo pesa nimeyaweka wazi,

2. Nimekubali kuwa nimefanya kosa na nilienda huko NMB na nimeandika pia kwa Manager kuomba "namna ya kulipa deni Hilo pole pole, na sikuona msaada,
3. Deni waliloweka kwenye akaunti yangu ni tofauti na Deni ninalodaiwa na bodi
 
Hata mie ningezitoa zote,

Wao kwanini hawakufanya transaction zao huko salio lako wakakuwekea,

Ila ndo kimeshakula kwako, miezi nane ya njaa ni mingi sana, ukisema uuze nyumba hata kupata mteja kwa miezi nane itakuwa bado.

Una gari uza, laptop uza pia kopa kopa uishi kwa kujibana, utafika tu.

Pole lakini
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Ilo jumba bovu lime mwangukia loan officer aliye issue claims yako ...we mwachie liporomokeee kabisaaa yaan we waambie pesa umewekeza shambani
 
Nenda kakope benki nyingine ulipe deni lote
 
Nadhani mwajiri ni mdhamini wake na kasaini documents zake na ndio anayepeleka huo mshahara huko alikokopa. Mwajiri akipeleka mshahara bank nyingine atashtakiwa na yeye ndo atatakiwa kulipa Hilo deni Kama hatapeleka huo mshahara.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa haraka haraka jamaa analamba 1.5 million we unasema aache hiyo kazi unajua kuna watu wanalamba 270,000/=
Hesabu za wapi mkuu hizo, maanake analamba kama laki tano na point, maana hapo analipa hiyo milion 4 na point aliyochukua siyo mkopo mzima.
 
Vumilia wamalize deni lao. Tafuta njia nyingine ya kuishi. Shukuru umepata mkopo umemaliza nyumba. Tamaa mbaya ungewasiliana nao kabla hujachukua hela maana ulijua amount uliyopaswa kuipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…