daktari feki
Senior Member
- Jun 25, 2020
- 166
- 122
Hauna lolote hata wewe naamini ungesepa nayo. Kwa watumishi wa umma wenye madai tofautitofauti ie. pesa ya likizo, mapunjo ya mishahara na kadharika, ni ujinga unapoona pesa imeingia kwa akaunti ujigeuze kachero uanze upelelezi. Lawama za namna hi ni za watu wenye uelewa mfinyu kuhusu mambo ya banking. Kwa nini usiilaumu bank kwa kuweka pesa ki makosa.Nashindwa kukusaidia kwa vile hupendi kutoa ushirikiano kuhusu kwa nini uliamua kutumia pesa zote wakati ukijua si halali yako.
Mkuu wewe mpaka hapo una makosa tena makubwa sana..Ndio ilivyo hasa,
Na lengo Mimi sio kukataa kuwa nadaiwa Bali , ni namna ya kulipa Hilo Deni pole pole bila kuathiri mshahara wote,
Kwasasa sioni tofauti kabisa ya makosa niliyofanya Mimi na haya makosa wanayofanya NMB
Mkuu sio kila mtu ana hizo tabia..Hata we ungekuta excess ungesomba yote tuwe wakweli jaman
Sio unafki.. Ni taahira tu ambaye labda si mgeni kwenye mambo ya kibenki ndiye anaweza fanya huo ujinga..Naunga hoja..watz wanafiki sana jaman chaa!
Aisee mkuu nilikuwa nakuheshimu sana, umeenda shule lakini??Uisiuze nyumba Wala nini komaa nao ongea nao kiume..hao nmb wanaingilika tu
Mkuu Kuna watu ni wapumbavu sana.. wanafikiri ile zamani watu walikuwa wanaokota fedha barabarani basi na unaweza okota fedha kwenye akaunti yako..Nasomba yote kivip wakat najua mshahara unaingilia humohumo? Itmeans wakigundua tu wanapiga pini mshahara?
Mi mtu aliwahi kukosea akatuma laki 7 mpesa niliicha wakairudisha. Coz nilijua thamani ya line yangu na miamala ninayofanya basi nikitoa tu hela watu pindi nikiweka salio tu watapita nalo tu
Banks zinadeal na transaction za mabilioni kwa siku, unashangaa petty errors kama hizi??Hauna lolote hata wewe naamini ungesepa nayo. Kwa watumishi wa umma wenye madai tofautitofauti ie. pesa ya likizo, mapunjo ya mishahara na kadharika, ni ujinga unapoona pesa imeingia kwa akaunti ujigeuze kachero uanze upelelezi. Lawama za namna hi ni za watu wenye uelewa mfinyu kuhusu mambo ya banking. Kwa nini usiilaumu bank kwa kuweka pesa ki makosa.
Kwa mtu anayejua terms and conditions wakati wa kufungua account Bank husika huwezi chukua pesa iliyozidi kwa account yako ni kosa kisheria na anaweza fungwa,tamaa mbaya sana,ona madhara yake sasaHata we ungekuta excess ungesomba yote tuwe wakweli jaman
Mkuu ninachoongea nakijua na kiliwahi kunitokea, nawashangaa wanaoona jamaa alichokifanya ni issue ya kawaida wakati ni kosaMkuu Kuna watu ni wapumbavu sana.. wanafikiri ile zamani watu walikuwa wanaokota fedha barabarani basi na unaweza okota fedha kwenye akaunti yako..
Hakuna fedha inayoweza potea bure kwenye transaction za kibenki. Wataitrace tu na wataipata.
Ule mwaka serikali imenunua Korosho kuna mkilima aliingiziwa kimakosa million 5, yule mkulima ile hela alijua si yake akaiacha zaidi ya miezi 8 na bado haikutolewa. Kuna wakati akapati shida akaingiwa tamaa akaitoa ile pesa, mwezi May tu hapa alikuwa na access ya 5m kwa account yake wakailamba chaap kuja kufatilia akaambiwa 2018 aliingiziwa hela kimakosa..
Hakuna hela ya bank inapotea hivihivi, na utakuja kuilipa kwa machungu na kudhalilika kama mdau anachokipitia hapa
Kama niliwahi kusikia habari hii!!!Mkuu ninachoongea nakijua na kiliwahi kunitokea, nawashangaa wanaoona jamaa alichokifanya ni issue ya kawaida wakati ni kosa
Enzi hizo tuliokota hela za mchina kwenye cassino. Tukapita nazo tukaenda kula vyombo mbalii siku kama tatu mfululizo
Baada ya hapo kilichotukuta niliapa siji fanya ujanja ujanja kwenye hela mtu
[emoji23][emoji23][emoji23]ulisikia wapi mkuu
Soma upya utajua,ukipita nayo kitakachokukumba ndio kama alichokutana nacho mleta madaKama si yake kwenye akaunti yake ilifuatamo nini? Hata kama ni mimi ningepita nayo.
[emoji23][emoji23]Nashauri wakuachie Koo then washuke waminye kende hizo ili akili ikurudi next time ukikuta Fwedha narudia Fwedha ambayo unahisi imekuwa deposited mistakenly basi ureport haraka sana
Hi kweliKwa mtu anayejua terms and conditions wakati wa kufungua account Bank husika huwezi chukua pesa iliyozidi kwa account yako ni kosa kisheria na anaweza fungwa,tamaa mbaya sana,ona madhara yake sasa
Na Mimi zaman nilikua kaoga Kama wewe...Nikujibu tu kuwa MKONO MTUPU HAULAMBWI!.. unalohisi wewe hapa nchin ni humu basi unajidanganya Sana..Tena mno!..kaa na watu vizuri bossAisee mkuu nilikuwa nakuheshimu sana, umeenda shule lakini??
Wanaingilika?? We unafikiri zile hela ni za meneja wa tawi au afisa mikopo ee??
Sio unafki.. Ni taahira tu ambaye labda si mgeni kwenye mambo ya kibenki ndiye anaweza fanya huo ujinga..
Siku nyingine mtakuja kujikuta mnapewa kesi za kutakatisha fedha alafu mseme mnaonewa..
Mkuu sio kila mtu ana hizo tabia..
Kustaarabika na kuelimika ni pamoja na kuelewa hiyo hela kama sio halali yako itakuletea matatizo.
We mpare unajikuta much know kumbe mweupe kabisaa..Na Mimi zaman nilikua kaoga Kama wewe...Nikujibu tu kuwa MKONO MTUPU HAULAMBWI!.. unalohisi wewe hapa nchin ni humu basi unajidanganya Sana..Tena mno!..kaa na watu vizuri boss
Kumbe ndio unachotegemea, dili chafu au sio!!Inategemea mkuu..!hapa mjini dili chafu zipo