Naombeni msaada wa haraka, NMB wamenikalia kooni

Hahhaaa mie unafiki sikuwezi..mie ningelita nazo mbele na ningesolve huku nimekaa fresh kbs..hebu tuwe real
Angalia usije pita na hela za Al Shabab alafu ukipewa kesi ya uhaini uanze kilia unaonea kisa unaiteteaga Chadema..

Ogopa pesa usiyojua ilikotoka. Mstaarabu hata bia ya mtu asiyemjua bar anakataa ila wewe nafikiri hata meza za watu bar unafakamia sababu tu umeona imejaa bucket's..

Kuwa makini..
 

😀😀😀 U wish!...all in all hatuna haki ya kumlaumu huyu mtoa mada...mnajifanya wasafi kumbe Huko makazini mnacheza dili chafu..imebumbumbuluka apambane nayo kiume..hakuna kukata tamaa ..!
Yaani ww umeona neno bia ndo bonge ya mfano..umri huu mie nifakamie bia zawatu😆😆!..Sina maisha hayo boss...
 
Kumbe ndio unachotegemea, dili chafu au sio!!

A learned person ambaye yupo formal (muajiriwa, mfanyabiashara ambaye transaction zake nyingi anafanya kibenki) hawezi fanya huo upuuzi unaousema..


😀😀We mwenyewe I'd yako Ina mashaka!..acha unafiki..hakuna msafi huko makazini...
 
Sasa kwanini ufakamie pesa usiyojua ilokotoka?? Ila nyie wapare kesho pesa ndivyo mlivyo 😂😂😂😂 wagumu kutoa wepesi kupokea..

Pole mtani..
 
😀😀We mwenyewe I'd yako Ina mashaka!..acha unafiki..hakuna msafi huko makazini...
Hapa hatuongelei usafi au uchafu.. Iba kama unadhani u can get away with it. Iba kisomi..

Sasa huko kukuta hela kwenye akaunti yako ukapita nayo bila kujua ilikotoka ni kujitafutia matatizo.. Na mifano nimekutolea hapo juu
 
Hii ndio point ya msingi, mengine yote mbwembwe tu. Anapata mshahara wa kukosa uaminifu
 
Hi kweli
..Ina maana we usingeitoa? Be honest
Mkuu Siwezi tumia pesa isiyonihusu,mwaka 2018 nilikopa pesa benk marejesho yote kwa mkopo wote ilipaswa kuwa 13,000,000 na mkopo ilipaswa kulipwa ndani ya miaka 3,cha ajabu kwa salary slip yangu nilikuta wameandika 1,3000,000 / ambapo nilipaswa kumaliza mkopo kwa miezi mitatu,lakini kwa kujua kuwa pesa za benki hazipotei ovyo ilinibidi nitoe taarifa benki ili waweke mambo sawa

Jifunzeni kuwa waaminifu,ona mwenzako sasa hivi anawaya ways,ilikhali wakati anazitumia hakutushirikisha,sasa anataka tumpe mbinu za kupambana na majanga wakati kayatafuta mwenyewe
 
Umejipandia mzee, hapo hakuna ushauri utakao kufaa.
 
Huyo Mwanamke nimemdharau bure... Eti anamdanganya mwenzake nenda tena NMB wanaingilika nenda kaongee kiume teh teh teh teh

Anafikiri zile pesa ni za meneja au afisa mikopo.. Ujinga wa hali ya juu!!
 
Mkuu mi nakusifu. Wewe ni jasiri.
 
Shallow uko wewe unayejidanganya u can get away na pesa ya bank..

Sasa mleta uzi ataleta mrejesho hapa kama unafikiri eti maneno ndiyo yatamsaidia..

Sijawahi kuona Msoffe empty set kama wewe aisee..

Inategemea na wepesi wake..mie ningechomoa hii kesi wangekata kidgo dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…