Naombeni msaada wa mawazo kuhusu ni nini cha kufanya

YANI HAPA NDO ULE HUSEMI WA "UKIMKOPESHA RAFIKI YAKO MKUMBATIE KWA MARA YA MWISHO" UNATIMIA.. POLE KWA CHANGAMOTO HIYO.
 
Mi ningekushauri usimdai,hesabu kama hasara alafu akipata atakupa,huwezi jua amekwama kwa namna gani.Mambo ya biashara yana changamoto ndugu.
 
Mi ningekushauri usimdai,hesabu kama hasara alafu akipata atakupa,huwezi jua amekwama kwa namna gani.Mambo ya biashara yana changamoto ndugu.
Ushauri mzuri, most of the time biashara zina changamoto hasa as a supplier company kwa gvnt ni shida, tatizo hizi taasisi za serikali unakuta wamepata pesa ya kumlipa supplier lakin vipao mbele vyao vinasababisha reallocation of fund na supplier anaacha kulipwa kwa wakati and they don't care, wanakujibu pesa haijaingia subiri kumbe wewe ulikopa na ukatarajia quick payment. So inabidi jamaa amvumilie kama jamaa hakuwa na lengo baya, na experience inaonekana amewahi kumkopesha mara kadhaa kwa style hiyo hiyo, biashara ni suala ambalo wakati mwingine ni undetermined.
 
Hilo gari lake ni deal mbona,hapo Cha kufanya tulitengenezee kadi ya mchongo tukakope somewhere😅🏃🏃🏃🏃
 
Kopesha mtu kiasi ambacho unaweza kumsamehe, Binadamu hatuna dhamana,unaweza mkopesha mil 10 ukashangaa mtu huyo amepata kesi mara amepata maradhi,dakika ya mwisho kumdai huwezi mtu akikuomba umkopeshe kiasi fulani basi kigawe mara kisha mpatie hiyo nusu.
 
Braza hili ni jambo la msingi sana na la kuzingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…