Naombeni msaada wa mawazo mwanangu hapendi Kula

Naombeni msaada wa mawazo mwanangu hapendi Kula

Mimi nina familia nyumbani wanangu toka wakiwa aged three wanapewa vyakula tunavyokula wakubwa so a’cally wanavizoea ukifika umri wa kuchagua sana wakiona wamedeka na hawadekezwi wanaendelea kula maisha yanaenda.

Huyo hajashikwa na njaa tu,labda kama mgonjwa but kama mzima akiwa na njaa chochote atakula.
Sawa sawa
 
Mchunguze nini anapenda zaidi
Mshirikishe kwenye mchakato wa uandaaji wa chakula yaani ukiwa unapika unaweza kuwa naye kumuentertain like mnapika pamoja, mpe mwiko walau ashike tu

Epuka kumpa vyakula vya sukari 1hr before eating kama biskuti au pipi

Mpe sana machungwa yanasaidia sana kuleta njaa

Mnunulie vyombo vizuri vinavyovutia na kuhamasisha kula
Acha kumtisha au kumpiga muda wa kula badala yake mpe chakula kidogo kidogo kwa kila baada ya saa fulani
Badilisha badilisha chakula ili asizoee chakula kimoja

Usimpe chakula peke yake andaa mle pamoja au na watoto wenzie...atahamasika kula

Wakati wa kula zima TV ili concetration iwe kwenye kula

Hope itakusaidia rafiki
 
Watoto wa siku hizi wanadeka mno, fanya hivi ongea nae vizuri kwa upole, kama anapenda kula huku anaangalia TV izime na umwambie ataangalia akimaliza kula

Muhimu:
1. mbadilishie aina ya chakula hata ndizi mchemsho mkaangie na kayai kamoja sio mbaya itamuongezea hamu,
2. Dawa za minyoo alikula lini mara ya mwisho
3. Mpe vitamin b (as directed by physician)
 
Kama hana hamu ya kula kwann unamlazimisha kula?

Tutumie mfano wa ndege kama Tai, Tai akiwa ameshiba hata umeekee mbele yake chakula chochote kile hali, atakula tena endapo tu atakapo sikia njaa na atakula chakula kinachomtosha, hii hali inamfanya asinenepe kupita kiasi na kuwa na mwili mzuri ambao utamsaidia kuwinda chakula.

This applies also to many wild animals.

Sasa sisi binadamu huwa tunafakamia tu, na pia tunalazimisha watoto wetu nao wafakamie.

kwan nani alikwambia lazima ule milo mitatu kwa siku??

Kwani nani alikwambia usipokula milo mitatu kwa siku utakufa?

Tatizo watanzania wengi tunadhani kula milo mitatu kwa siku ni utajiri na kutokula milo mitatu ni sign ya umaskini, ideology ya kipumbavu sana.

Kama mtoto umemlisha asubuhi akashiba sio lazima umlazimishe kula mchana, chakula bado kipo kweny damu ndio maana hasikii njaa, mwache mtoto akisikia njaa atakutafuta tu mwenyew atakwambia njaa inauma.

Tusilamizishe watoto Kula!
Sawa mtaalam. Ila kwa uelewa wangu mtoto anaweza kucheza asubuhi mpk jioni asikumbuke chakula na akila mara moja tu hata km nikidogo sn anaweza akasahau kwamba anatakiwa ashibe kwa sababu mlo ni mmoja. Naogopa sn swala la mtoto kupata vidonda vya tumbo kwa sababu alikaa na njaa muda mrefu au mara kwa mara. Ntakachojitahidi labda nimpunguzie milo badala ya milo mi3 atapiga mi2 sasa hivi. Asante sn kwaushauri mzuri
 
5yrs Nashindwa kusema chochote,. Ngoja waje kukupa miongozo Joanah Dr Restart Smart911

Hahaha, Leejay49 sina hata idea ya how to raise a kid
Sijawahi kukaa na mtoto hata kwa nusu saa 😃 ,hata huyu wa miaka mitano sina nachokijua

Labda asome huu uzi anaweza kupata moja na mbili
 
Mchunguze nini anapenda zaidi
Mshirikishe kwenye mchakato wa uandaaji wa chakula yaani ukiwa unapika unaweza kuwa naye kumuentertain like mnapika pamoja, mpe mwiko walau ashike tu

Epuka kumpa vyakula vya sukari 1hr before eating kama biskuti au pipi

Mpe sana machungwa yanasaidia sana kuleta njaa

Mnunulie vyombo vizuri vinavyovutia na kuhamasisha kula
Acha kumtisha au kumpiga muda wa kula badala yake mpe chakula kidogo kidogo kwa kila baada ya saa fulani
Badilisha badilisha chakula ili asizoee chakula kimoja

Usimpe chakula peke yake andaa mle pamoja au na watoto wenzie...atahamasika kula

Wakati wa kula zima TV ili concetration iwe kwenye kula

Hope itakusaidia rafiki
Asante sn nmekuelewa sn
 
Watoto wa siku hizi wanadeka mno, fanya hivi ongea nae vizuri kwa upole, kama anapenda kula huku anaangalia TV izime na umwambie ataangalia akimaliza kula

Muhimu:
1. mbadilishie aina ya chakula hata ndizi mchemsho mkaangie na kayai kamoja sio mbaya itamuongezea hamu,
2. Dawa za minyoo alikula lini mara ya mwisho
3. Mpe vitamin b (as directed by physician)
Asante sn. Dawa za minyoo tutakunywa tena karibuni. Ntattfuta vitamin b pia mana sijawahi kuwaza. Nashukuru sn
 
Hahaha, Leejay49 sina hata idea ya how to raise a kid
Sijawahi kukaa na mtoto hata kwa nusu saa 😃 ,hata huyu wa miaka mitano sina nachokijua

Labda asome huu uzi anaweza kupata moja na mbili
Asante sn
 
Mkuu majimaji vyakula vyenye Radha tamu ni vipi hivyo?

Mtoto azingue kula afu Huku muhindi nae anakula hela za mikeka 😂
We acha tu Kanjibai atupige na nyumbani eti mtoto hali. Tanzania vyakula vingi havina radha labda kidogo chips tofauti na wenzetu wa Europe na America.
 
We acha tu Kanjibai atupige na nyumbani eti mtoto hali. Tanzania vyakula vingi havina radha labda kidogo chips tofauti na wenzetu wa Europe na America.
Kweli hata huyu wa kwangu kwenye chips atakula sana na kuongeza, njoo kwenye ugali au wali anakula kwa shida mpk anasinzia.

Sijaona code Zako kule kwenye jamvi letu la kuwekeza ... Kanjibai atoe hela ya kuwalisha wenetu Chip na mayai ya boi yai
 
Jipige pige mnnulie supplements za forever. Nzuri sn. Mie wanangu ziliwasaidia. Pia mfanyieni smoothes za matunda... avocado, banana, mango au tende na maziwa. Hata kama atapata kdg tu kwa siku anapata virutubisho
Screenshot_20250116_174958_WhatsApp.jpg
 
Kweli hata huyu wa kwangu kwenye chips atakula sana na kuongeza, njoo kwenye ugali au wali anakula kwa shida mpk anasinzia.

Sijaona code Zako kule kwenye jamvi letu la kuwekeza ... Kanjibai atoe hela ya kuwalisha wenetu Chip na mayai ya boi yai
Leo nilikua busy sana job nikitulia nitasuka jamvi then nalitupia kule ili tuishi.
 
Habari za leo wana Jf. Naombeni msaada wa mawazo ya kumfanya mtoto wangu apende kula.
Mtoto wangu ni wakike anaumri wa miaka 5 sasa. Afya yake sio mbaya ila tatizo lake HAPENDI KULA.
Kila siku lazima nimshikie fimbo wakati wa kula. Nikulazimishana ni vilio mwanzo mwisho mpaka chakula kinaisha.

Na usipomshikia kiboko hicho chakula hakitaisha yuko radhi akae hapo akiangalie tu muda wote.

Na anatabia yakuweka chakula mdomoni halafu hamezi. Kuna wakati najiuliza sijui anashida kwenye koo?

Kwa sasa namuonea huruma mana namchapa sana wakati wakula ila habadiliki ingawa akisikia njaa huwa anasema.

Naomba ushauri nitumie mbinu gani ili nimshawish apende kula ama kama kuna dawa zinazoweza kumpelekea kupata hamu ya kula mara kwa mara ningeomba nizifaham.

Je tatizo hili ni kwa watoto wengine pia ama ni kwa mtoto wangu tu?

Natanguliza shukrani..🙏
mpeleke kwa wataalamu afya na lishe watakusaidia kutatua hiyo changamoto.
 
Back
Top Bottom