Naombeni namna ya kuepuka kula kitimoto

Nipo jirani na wauzaji kwa kweli napata tabu sana kuacha kula maana nahisi itaniletea mazara jamani na nyama ni tamu
Acha kuwaza ujinga, uache kula kitimoto ili iweje!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…