Nielekeze nawaonea wapi kwa hapa singidani.Wapo mkuu in my opinion ndio mkoa unao ongoza TZ 🇹🇿 kuipeperusha vyema bendera ya Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nielekeze nawaonea wapi kwa hapa singidani.Wapo mkuu in my opinion ndio mkoa unao ongoza TZ 🇹🇿 kuipeperusha vyema bendera ya Tz
Mimi pia wikend hii ntapitia hapoPoa man, me uhakika weekend. Maana natokea Ubungo nitaenda lazima
Si useme tu unakunywa☺️Naonja onja 🥴🥴
Wapo wangapi? Nipo serious weekend najaWapo vizuri.
Ninashukuru Mungu kwa hilo, kuanzia muonekano mpaka huduma wanazotoa.
Mimi nitaenda kweliwatu nomaaa 😁😁
badala mchukue namba muende
Acha uhuni mzee was ku-like😂Dooh kusema kweli kwangu mm itakuwa changamoto
Umeshaharibu.Haipo.
Kikubwa ninachoomba ni sapoti yako.
Hapo ushatoboaWapo mkuu
pombe nimeacha ndo naulizia nyama 😂Weee twende tukaenjoy hapo
Usijali ata mie pombe hapana...tunagonga nyama na lepsi baridiiii sanaaaapombe nimeacha ndo naulizia nyama 😂
Karibu sana.Mimi pia wikend hii ntapitia hapo
Ndio nina king'amuzi Cha AZAM na DSTV .Kuna tv?? Na unaonyesha games za ligi zipi??
EPL
NBC zinapatikana??
Karibu sana.Ntafika kama kawaida hayo maeneo yetu, shoo kama zote mwanzo mwisho
Kuna Uzi humu unaelezea mitaa hiyoNielekeze nawaonea wapi kwa hapa singidani.
Ebu nitag huo uzi maana kwa kweli nahitaji kugegedua mrembo mzuriKuna Uzi humu unaelezea mitaa hiyo
Nyumbani pharmacy kwa nyuma mtaani kwangu