Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

Wengine hawapendi harufu ya nguruwe.

Imagine umekaa unakula , jirani yako kakaa anakula nguruwe ,kwa ambao sio watumiaji wanaelewa
Nguruwe ana kisehemu chake huwa panatengwa kwa pembeni.

Lakini anayeenda bar/pub ni lazima akubaliane na vitu vinavyoenda kinyume na Imani yake.vinginevyo atakua ni mnafki

Zipo pub/lounge nyingi kubwa tu ambazo kitimoto inauzwa hadharani na bado watu wote wanaokula na wasiokulaa huwa wanajaa.
 
Back
Top Bottom