Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

Naombeni sapoti yenu.

Nimefungua Pub yangu Kinyerezi Mahakamani (Mnadani) inaitwa Run way pub.

Asanteni

Pia karibuni sana.
Nakupongeza kwa kunadi biashara yako japokuwa inawezekana watakao liona bandiko hili katu hawawezi kuwa wateja wako swali fikirishi je umejiridhisha pasina shaka humu kuna wateja wa bidhaa yako?
 
Nakupongeza kwa kunadi biashara yako japokuwa inawezekana watakao liona bandiko hili katu hawawezi kuwa wateja wako swali fikirishi je umejiridhisha pasina shaka humu kuna wateja wa bidhaa yako?
Wapo waliokuja .
Wengine nategemea kuanzia kesho na kesho kutwa.
 
Hapa pombe ambazo hatuuzi ni smart gin(kisungura) , double kick ,Cuca nk tumefanya hivi ili angalau kupunguza wahuni .
Unakosea sana kuwaita wateja ni wahuni, hata kama hupendi kuhudumia watu wa low classes basi jaribu sana kutumia polite language .

NB : Siyo wote wanaotumia hivyo vinywaji ni wahuni, wapo wanaotumia wine lakini bado ni wahuni. Fahamu hilo
 
Back
Top Bottom