Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

binti kiziwi twende tukamuunge mkono mwana jamii forums mwenzetu kwa hatua aliyoifikia. Na tukifika hapo pub, ni full kujitambulisha. Gharama zote na mambo ya keep change; ni juu yangu. 😎

Kumbuka tu ukiugomea huu mtoko wangu, nammchuku mtoto mwingine mkare kwa jina la sweety candy. 😩
Siwezi kuugomea na leo ni ijumaa, Sweetpipi asubiri siku yake itafika.

Haya tukutane riverside baada ya daraja, upande wa kwenda tabata, nimevaa sketi fupi nyekundu, kofia nyeusi 😂💃🏻💃🏻
 
Back
Top Bottom