Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

mtaalam na mwalimu wa mwandiko jf
Umeniandaliaje upande wa konyagi
Ungeweka na bei za vinywaji...
Kuna watu tuliwahi acha bar simu nasaki tukajua 2500 bia 8 ikaletwa 40000 simbaya kutuweka wazi boss lady

Hongera sanasanaa
 
U

mashukia kituo gan
Nanhuko pombe mpaka saa tisa ama mda wowote
Je kuna mizigo ya maana
Kama haipo umejipangaje kupendezesha pub ili wawepo...
Congs mkuu
Shukia kinyerezi shule, ni mwendo wa dakika tatu mpaka tano kwa kutembea . Kinyerezi mahakamani karibu na Ikupa bakery utaona pub imeandikwa Runway Pub and Grill.
 
Back
Top Bottom