username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 343
- 1,069
- Thread starter
- #21
Ndio mkuuBoss nitakuja na wanangu. Wahudumu wa kike wazuri wapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuuBoss nitakuja na wanangu. Wahudumu wa kike wazuri wapo?
Kumbe wapo mbona umesema hamna kiongoziNdio mkuu
Jumapili nipo hapo MkuuUkisema tu ni member wa JF inatosha, sio lazima useme username yako.
Ni weupe? Na nyama choma ipo? Na huduma zote wanatoaWapo vizuri.
Ninashukuru Mungu kwa hilo, kuanzia muonekano mpaka huduma wanazotoa.
Sawa mkuu, vipi huduma ya supu?Ukisema tu ni member wa JF inatosha, sio lazima useme username yako.
Ndio kuna chakula, music , karaoke nkNi weupe? Na nyama choma ipo? Na huduma zote wanatoa
Ipo mkuuSawa mkuu, vipi huduma ya supu?
Umesha wakaribisha wapanda juu ya meza au unawakaribisha wana jf ambao kukuunga kwao mkono sii kama ukiwapata wapanda juu y meza oggg.Naombeni sapoti yenu.
Nimefungua Pub yangu Kinyerezi Mahakamani (Mnadani) inaitwa Run way pub.
Kwa Mawasiliano na ushauri , ninaomba mnitafute 0757720362.
Asanteni
Pia karibuni sana.
Mnadani, upande wa kulia.Ukiwa unatokea Kinyerezi Park, hiyo pub yako ipo upande upi?
Kumbe,ukimya wote,hatimae leo kimeeleweka sasa🤣🤣🤣🤣🪂🪂🪂🪂🪂Dooh kusema kweli kwangu mm itakuwa changamoto
Bado ni mpyaUmesha wakaribisha wapanda juu ya meza au unawakaribisha wana jf ambao kukuunga kwao mkono sii kama ukiwapata wapanda juu y meza oggg.
Kumbe pako safu.Ndio kuna chakula, music , karaoke nk
yesSoda za Pepsi zipo?
Baga zipo?Ndio kuna chakula, music , karaoke nk
Mbona hujamuulizia jini smart?Soda za Pepsi zipo?
Naombeni sapoti yenu.
Nimefungua Pub yangu Kinyerezi Mahakamani (Mnadani) inaitwa Run way pub.
Kwa Mawasiliano na ushauri , ninaomba mnitafute 0757720362.
Asanteni
Pia karibuni sana.
Hapo Mnadani kuna njia nne. Moja inaenda Goms, nyingine Njombe Bar, Kinyerezi Park na nyingine Kinyerezi mwisho.Mnadani.