username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 343
- 1,069
- Thread starter
- #41
Hizi hatuuziMbona hujamuulizia jini smart?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi hatuuziMbona hujamuulizia jini smart?
Upo bize unaulizia misambwanda hadi umesahau kumwaga likes.....Kumbe wapo mbona umesema hamna kiongozi
Ukitaka kwenda ni TAGBoss nitakuja na wanangu. Wahudumu wa kike wazuri wapo?
Ikupa bakery.Hapo Mnadani kuna njia nne. Moja inaenda Goms, nyingine Njombe Bar, Kinyerezi Park na nyingine Kinyerezi mwisho.
Wewe upo barabara ipi?
Upo bize unaulizia misambwanda hadi umesahau kumwaga likes.....
Oyaaaaa Nyamwi255 watu wapo serious kidg muda huu 😄Baga zipo?View attachment 3086169
Kwa maswali yako,huenda anahitaji kutafuta mkalimani wa ramani.Hapo Mnadani kuna njia nne. Moja inaenda Goms, nyingine Njombe Bar, Kinyerezi Park na nyingine Kinyerezi mwisho.
Wewe upo barabara ipi?
Karibu sana kaka Kennedy.Sawa Bia Tamu
Naombeni sapoti yenu.
Nimefungua Pub yangu Kinyerezi Mahakamani (Mnadani) inaitwa Run way pub.
Kwa Mawasiliano na ushauri , ninaomba mnitafute 0757720362.
Asanteni
Pia karibuni sana.
Muonekano hapo.. NitakujaWapo vizuri.
Ninashukuru Mungu kwa hilo, kuanzia muonekano mpaka huduma wanazotoa.
Habari Yako manyanza😁🤣🤣🤣🤣
Kuna Bar moja niliingia kula chakula maeneo ya Buza kwa Osama aisee ilikuwa na Watoto wakali made in Singapore nimekula nikaagiza bia, salio likakata mpaka nikampigia Mwana nipo safari natokea Iringa nimeachwa na basi hapa Mikese nilishuka kuchimba dawa tumbo linazingua sana na vitu vyangu vipo kwenye gari nisaidie hata 30k nichukue boda nilifukizie Mwana akatuma 50k nikaendelea kula vitu huku......
Bar ikiwa na Wahudumu wazuri na wacheshi waliochangamka utapata sana wateja.
Nimetoka huko Kwenu ni PM basi tuyajengeHabari Yako manyanza😁
Sawa mkuu ,naendelea kupokea ushauri.🤣🤣🤣🤣
Kuna Bar moja niliingia kula chakula maeneo ya Buza kwa Osama aisee ilikuwa na Watoto wakali made in Singapore nimekula nikaagiza bia, salio likakata mpaka nikampigia Mwana nipo safari natokea Iringa nimeachwa na basi hapa Mikese nilishuka kuchimba dawa tumbo linazingua sana na vitu vyangu vipo kwenye gari nisaidie hata 30k nichukue boda nilifukizie Mwana akatuma 50k nikaendelea kula vitu huku......
Bar ikiwa na Wahudumu wazuri na wacheshi waliochangamka utapata sana wateja.
Kwa maswali yako,huenda anahitaji kutafuta mkalimani wa ramani.