Maneno aliyoyaongea mufti umesikiliza au ulivoona ni bakwata umesusa kusikiliza??Wewe sema usemayo, huyajuwi. Lakini all in all AlhamduliLlah tunafanya vyema sana. Unaongelea bakwata? kweli hautujuwi Waislam wa Tanzania.
Chama kilichoasisiwa na mtu wa kanisa katoliki unakiita cha Kiislam au cha Waislam? wengi tunaijuwa lakini hatuitambui. Jisomee:
Link ya uzi tajwa unaniambia sina ruhusa ya kufunguaWewe sema usemayo, huyajuwi. Lakini all in all AlhamduliLlah tunafanya vyema sana. Unaongelea bakwata? kweli hautujuwi Waislam wa Tanzania.
Chama kilichoasisiwa na mtu wa kanisa katoliki unakiita cha Kiislam au cha Waislam? wengi tunaijuwa lakini hatuitambui. Jisomee:
HeheheExplanation tafadhaliView attachment 2732740
wanajijua, ngoja wajeWametukanwa watu hapo
Inamaana unahisi mimi ndo mleta mada mwenye ID zaidi ya moja?! 😀😅😅😅Naona hoja imekushinda, umeliona handsome la Kiarabu lipo kwenye space shuttle linasoma Qur'an, linswali na lipo kwenye swaum, hiyo ni mwaka 1985.
Sasa waone vijana huyu wa sasa:
Hapa wa kiwa na mmiliki wa DP World:
View attachment 2732842
Na hapa mmojawao akiwa kituo cha anga za juu (space station):
View attachment 2732844
DP World hoyee.
Sasa sisi ni wa kushindanishwa na hao?! Hata tufanye nini katu hatutoboi! Picha linaanza tunaharibiana na kukandamizana wenyewe kwa wenyewe.Unajua haya mambo mwisho wa siku tunaishia kushindanisha mzungu na muarabu sisi tunajisahau
TakbirrrrrrrrrrrrExplanation tafadhaliView attachment 2732740
mpuuzi sana wewe bwana mdogoWe bwana ni MPUMBAVU na umejawa na chuki na dini ya kiislam tena zisizo na sababu. Kabla huja-criticize uma au dini na imani ya watu kaa chini usome, uchimbue na upekue kisha ndo uje na hitimisho.
Kwa taarifa yako sasa...
"THE BIGGEST & SAD SECRET BEHIND ADVANCED TECHNOLOGY AND EVERY INNOVATION UNAYOIONA IPO KWENYE QUR'AN TUKUFU NA WAGUNDUZI NA WAANZILISHI WA YOTE HAYO WALIKUWA NI WAISLAM..., WALIISHIA KUUWAWA! HISTORIA ZIKAFICHWA NA KUGEUZWA WAKAONEKANA WAZUNGU NDO WAMEFANYA HAYO. KABLA HUJABISHANA NA KULETA UPUMBAVU WAKO HAPA KASOME, UPEKUE, UCHIMBUE!"
Anga za juu..kibla ipo upande gani?Mfahamu mtu wa kwanza kusoma Qur'an na kufunga Ramadhan akiwa anga za mbali "outer space"
View attachment 2732784
View attachment 2732789
View attachment 2732792
Ma shaa Allah na salat zake 5 kwa siku hazikumpita.
View attachment 2732793
Hiyo ni miaka 37 nyuma, siyo jana au leo.
Niwaongeze mwengine wa juzi juzi?
ATI ni kweli Qur'an imeandika jua linazama kwenye tope? Sura al khaf 86?Elimu yote kubwa ya sasa hivi chanzo chake ni Uislam kwa ushahidi kabisa na tafiti.
Hawa watu hawasomi wanadanganyana vichochoroni ivijijini huko. Hivi kanisani watafundishwa nini zaidi ya kumuabudu mzungu?
[emoji1787][emoji1787]Moja kati ya watu wapumbavu ni hawa wanaoamini wazungu wote ni wakristo [emoji28][emoji28]na kila kinachofanywa na wazungu basi wanaamini kweny ukristo.
[emoji1787][emoji1787]Pitia post #11 halafu unambie wewe mgala wa bongo, lini?
Utabaki kuota unadondoka majabalini tu, Robert Heriel Mtibeli alikuwa anaota anadondokewa na videge vya ATC.
Sasa akiiona hii itabidi aote anadondokewa na space shuttle.
[emoji1787][emoji1787]We nenda kajiuze huko na kaombeombe hela kwenye PM za watu, kauze biryan hiyo huko... humu hapakufai
Huko juu hukuuona huo ufafanuzi ?!!ATI ni kweli Qur'an imeandika jua linazama kwenye tope? Sura al khaf 86?
Akili kisoda...Anga za juu..kibla ipo upande gani?
Hapa tumewaumiza sana wagala.Akili kisoda...
Katika dini ya uislam mambo yanayohusu "sheria- Fiqh" hutolewa kielimu na kwa "reference" ambayo huitwa fatawa(fatwa)....
Kabla ya kibla kuamriwa kuwa huko Makkah(Al Qaaba-black stone) waislamu walikuwa wanaelekeza nyuso zao huko Jerusalem(Bayt ul muqaddas)...Qudsi...aya zikaelekeza walekee huko Mecca...
Sasa uko anga za juu na dunia iko chini....utakuwa ni mwendawazimu kutafuta kibla cha Mecca...[emoji1787][emoji1787]
Anayeswali ataelekea KOKOTE tu....
Allahu Aalaam
(Allah ni mjuzi zaidi).
Karibu Wanzuki hapa kwa mama Lily Sondombwa [emoji120]