Labda abebe begani wakaishi lakini kama ana mpango wa ndoa na sherehe atakwama deni litakumbushwa likamilike ndio taratibu ziendeleeSikia wewe acha kuwa lofa, kubali. Waambie awamu ya kwanza utalipa hicho kiasi unachotaka kulipa (1.3m).
Ukishachukua mke hawana ujanja wowote unaweza kuwalipa hata elfu kumi kumi kila mwezi.
Ndoa anafunga tu vizuriLabda abebe begani wakaishi lakini kama ana mpango wa ndoa na sherehe atakwama deni litakumbushwa likamilike ndio taratibu ziendelee
😂😂😂😂😂😂😂😂Mtie mimba kaa kimya muendelee na mapenzi yenu, kikubwa usimuache.
Ba mkwe ataomba apokee hata awamu nane
Atafute mbinu tu nzuri kuongea na wazee kutafuta mwingine sio rahisi hivyo.....atalivaa la kukivaa akifanya na stress....ndoa ndoanooMwambie huyo mwenzio kuwa uchumi wako hauruhusu,. Kama hawataki kuchukua awamu tatu unaoa mwingine. wakiendelea kukaza achana nae,. Tafuta wengine kwakuwa huyo hawakuuzii,. Na baada ya hapo hao wakwe utaendelea kuwasaidia Ktk starehe na maafa mbalimbali
Ndiyo wewe uwambie wakupe muda utafute hiyo nusu. watampigia simu mshenga kukulizia kwamba umefikia wapi?ukiwajibu watakwambia uende tuu na hicho ulicho nacho kwanza.Ila usianze uzinzi na mwezako kabla ya ndoaMimi sijabisha ila bado najipanga
Kuna muda wazazi wanazingua sana 😁😂😂😂😂😂😂😂😂
Binti nae akaze au ndio wale wanaoogopa mzee akishasema hamna mjadala. Mimi ningetafuta kipimo cha mimba nimpelekee mama wakajadiliane na mume wake kama watalea mjukuu au wachukue kilichopo na mimi nikapate cha kuanzia maisha na mwenzangu
huyo bint mpe mimba halafu mset akajifungulie kwao wazaz wake wenyewe watakutafuta
Vibaya hiviMtie mimba kaa kimya muendelee na mapenzi yenu, kikubwa usimuache.
Ba mkwe ataomba apokee hata awamu nane
Hizo zingine ambazo siyo za kutoa mahali ndiyo mila mbaya kabisaUnataka adanganye Ukweni,wewe ndo miongoni mwa wanaoendekeza Mila Mbaya
Hiyo ni njia sahihiVibaya hivi
Kwahiyo mkuu, wewe incase hutapokea mahari??Mahari ni utamaduni uliopitwa na wakati.
Ni biashara ya kuuza wanawake iliyohalalishwa na jamii tu.
Kuheshimu mila ni logical fallacy ya "argument from tradition".Kwahiyo mkuu, wewe incase hutapokea mahari??
Heshimu Mila ndugu yangu
we si unamchukua kwa awamu moja mazimaa, lipa kwa awamu moja au jikusanye mpaka upate hiyo 2.1 milMwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni mbili na laki mbili na 30, Mimi nikakubali kulipa ila nikawaomba nilipe kwa awamu tatu yani awamu ya kwanza nilipe Milioni moja na laki tatu, Baada ya mshenga kuwaambia hivyo Baba mkwe akajibu haiwezekani kulipa kwa awamu tatu anataka Mahari ilipwe kwa awamu mbili na tuseme awamu ya mwisho tutalipa lini, Mimi kiukweli kulipa kwa awamu mbili ni ngumu.
Sass hivi nipo naumiza kichwa.
Nasema hivi kijana wako akija kuoa kwenye familia yetu lazima alipe mahari mkuu, achana na uzungu uzungu hauna faidaKuheshimu mila ni logical fallacy ya "argument from tradition".
AI Overview.
"Argument from tradtion" is a type of reasoning that asserts a belief or practice is valid simply because it has been followed for a long time or is part of a long-standing tradition. It's a type of logical fallacy where the claim that something is "right" or "correct" is based solely on its historical precedent, rather than on evidence, reason, or current circumstances.
Key characteristics of an argument from tradition:
Focus on age or history:
The argument hinges on the fact that something has been done or believed for a long period.
Assumption of inherent correctness:
It implies that because something is traditional, it must be inherently correct or superior to alternative approaches.
Lack of justification:
It often lacks a reasoned explanation for why the tradition is considered valid or why it should be upheld, according to RationalWiki.
Resistance to change:
It can be used to resist or oppose new ideas or practices that challenge the established tradition, according to Logically Fallacious.
Examples:
"We've always done things this way, so we should continue doing it".
"This traditional medicine has been used for generations, so it must be effective".
"It's our family tradition to go to this college, so I must go there too".
Why it's a fallacy:
Past is not necessarily correct:
The fact that something has been done in the past doesn't automatically make it correct or appropriate in the present.
Traditions can be based on flawed reasoning:
Traditions can be based on misconceptions, outdated information, or even harmful practices.
Ignoring evidence and reason:
An appeal to tradition often ignores or dismisses evidence, reason, or alternative viewpoints that might challenge the established tradition.
Stifling progress:
It can prevent progress or innovation by clinging to outdated methods or beliefs.
In some cases, the concept of "tradition" can be valuable, but it should be understood as a starting point, not an end in itself:
Traditions can provide cultural identity and continuity: They can offer a sense of belonging and connection to the past.
Traditions can be a source of wisdom: They can reflect valuable knowledge and lessons learned over time.
But they should always be open to scrutiny: Traditions should be examined critically, and if they are no longer relevant or harmful, they should be changed or abandoned.
Naunga mkono hoja hivi✅Sikia wewe acha kuwa lofa, kubali. Waambie awamu ya kwanza utalipa hicho kiasi unachotaka kulipa (1.3m).
Ukishachukua mke hawana ujanja wowote unaweza kuwalipa hata elfu kumi kumi kila mwezi.
Kwanza hiki si suala la uzungu. Baba wa taifa lako si mzungu na aliheshimu sana mila, lakini na yeye alipinga mahari.Nasema hivi kijana wako akija kuoa kwenye familia yetu lazima alipe mahari mkuu, achana na uzungu uzungu hauna faida
Apige chini wote binti na babakeKama huwezi kulipa mahari awamu mbili,hapo kuna option mbili either umtoroshe au umpige mimba,mkuu hapo utalipa mahari hata elfu tano tano