Sasa kama ni asante na kukubali jamaa kuwa swhemu ya matatizo yao, mbona upande wa mke nako hawatoi mahari kwa upande wa mume kama asante kwa upande wa mume kumtunza mume na kumkubali mume kama sehemu ya matatizo yao?ile ni asante kwa kumtunza binti yao na kukubali jamaa kuwa sehemu ya matatizo yao
asa mke atoe vipi wakati mwanaume ndiye anaye ombaSasa kama ni asante na kukubali jamaa kuwa swhemu ya matatizo yao, mbona upande wa mke nako hawatoi mahari kwa upande wa mume kama asante kwa upande wa mume kumtunza mume na kumkubali mume kama sehemu ya matatizo yao?
Anaomba au ananunua?asa mke atoe vipi wakati mwanaume ndiye anaye omba
kama una nunua iweje huna hati miliki nae siku akichoka anaondokaAnaomba au ananunua?
Kama anaomba tu, pesa inahusikaje hapo?
Kwani ukinunua ng'ombe una hatimiliki?kama una nunua iweje huna hati miliki nae siku akichoka anaondoka
Tuna taka story yenye episod kadhaasi nilitoa uzi kabisa hujauona..?
Mh! ichape weweTuna taka story yenye episod kadhaa
Hahah hii inawafaa wana kataa ndoa wenye visa vya kukataliwa mahari nkMh! ichape wewe
Nasikitika kusema chama Cha kataa kime chokwaππMh! kwahiyo ule walaka wa "No reform no marriage!" Haukukufikia...?
Onngea naye ili aka protest kwa wazazi wake, au mteke mambo mengine yatakaa sawa baadayeTatizo Mchumba ansonw
Tatizo mchumba wangu anaona kama nimeghairi kwasababu nipo kimya sijasema siku gani nitapeleka nusu.
Dah hizi Aya mbili za mwisho zime nichekesha sana ππ πNdiyo maana kijana wangu hawezi kuja kununua mtumwa kwenye familia yenu kwa mila za kuoa kwa mahari.
Unakataa vipi kijana wangu kuoa kwenye familia yenu bila mahari wakati hata hatuwajui na hatutegemei kuoa kwenu?
ani tafute mwenyekiti wa uwabata, ili asilipe mahari kabisa π πWatafute wazee wa kubageini mahari kina mzee Grahams na wenzie wakushushie kutoka 2m mpaka laki na nusu.