Naombeni Ushauri: Baba mkwe kakataa kupokea Mahari kwa awamu tatu

Ukute hata hukumkuta bikra, ukute ulikutana na amboni....then mzazi anakuambia kiswahili cha kijinga namna hiyo, three options..ahirisha zoezi, toa iliyopo au mpe mimba.
Unanunua gari used , mileage laki 7 km
 
Nina certificate kwenye bargaining skills, angefanya kunitafuta anipe hiyo kazi.

Muhimu asinikose hela ya Kiko tu πŸ€—

Heri ya Pasaka Mkuu πŸ₯‚
Hiyo certicate uliipata mwaka 47 sio, msaidie kijana auze uhuru wake.

Shukrani sana mkuu heri ya pasaka na kwako pia na familia.
 
Dah hizi Aya mbili za mwisho zime nichekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚
Ndiyo hawa wanagomea kabisa kwenda Marekani asilani abadani, lakini kumbe hawana pasipoti, hawana visa, hawana nauli, hawana pa kufikia, hawana mualiko, hawana hata ndoto za kwenda.

Sasa hapo unagomea kwenda au unajitekenya tu?
 
Sasa kama ni asante na kukubali jamaa kuwa swhemu ya matatizo yao, mbona upande wa mke nako hawatoi mahari kwa upande wa mume kama asante kwa upande wa mume kumtunza mume na kumkubali mume kama sehemu ya matatizo yao?
Swali zuri Sana, sijui kwanini tunaona mwanaume ndo anatakiwa kutoa shukrani wakati hawa wote wamelelewa na sasa wanaanza maisha Yao, Ingefaa Sana kama wazazi wa pande zote mbili wangekuwa wanachangishana then wawape hawa watoto wao wakaanze maisha Yao ya NDOA. MAHARI NI UTAPELI ULIOCHANGAMKA
 
Mkuu pole sana je! uoni umuhimu wa kuweka namba ya babamkwe ili wanajamvi tumjulie hali natanguliza pole kwa wakatoliki kwa kumpoteza Papa
 
Hiyo si shukurani. Hayo ni manunuzi.

Mwanamke ananunuliwa.

Ingekuwa shukurani pande zote zingetoa.
 
Ndiyo hawa wanagomea kabisa kwenda Marekani asilani abadani, lakini kumbe hawana pasipoti, hawana visa, hawana nauli, hawana pa kufikia, hawana mualiko, hawana hata ndoto za kwenda.

Sasa hapo unagomea kwenda au unajitekenya tu?
shida una tumia silaha za kivita kwenye kikao Cha kawaida aiseeπŸ˜‚πŸ˜
 
Mbona hiyo milioni mbili huku Dom unaweza kununua kiwanja ukapewa na hati!
Kuliko kununua mke used
ambaye kuna ex wake anamwelewa kuliko hata wewe
 
Ushafanya mara ngapi😁😁
 
Sasa unataka tukupe ushauri gani ikiwa hauna uwezo wa kuoa mtoto wa watu? Tafuta mtoto wa watu ambaye unaweza kummudu, usijitafutie matatizo bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…