Sio mume wangu, ni mtu tulishindwana miaka mingi akamkatalia mtoto nilikuwa masomoni sikuweza kumchukua, nimemaliza nikawa najitafuta sikuwa na huo ujeuri wa kumchukua japo ilikuwa mbinde sana kumchukua mtoto kila mtu alikataa nisimchukue sina uwezo wa kumhudumia, basi ndio ikawa hivyo mpaka leo!Sorry
kama ni mwanao sawa
kaa chini na mumeo mdiscuss hilo swala mumpeleke shule za serikali
Nimejaribu kila mbinu zinanigomea! Sijui hata nifanyejeKama sio mmeo muache apambane na ujinga wake..Ila kama ni ndugu yako wa karibu Jaribu kumuhusisha mtu wa familia unayeona wanaheshimiana.
Ikishindikana mburuze ofisi za kata wakamnyooshe huko.
Ndio kwanza kaokoka ghafla anataka kuwa mchungajiOoh.... Baba wa mtoto mwambie haumize Kichwa kuongeza kipato maradufu ndio aongeze matumizi. Kuongeza matumizi bila kuongeza kipato ni ukosefu wa elimu ya fedha.
Samahani grade 2 ni kitu gani kinafanana na nini?
hio ni family issue tu unaweza kuimaliza within a daySio mume wangu, ni mtu tulishindwana miaka mingi akamkatalia mtoto nilikuwa masomoni sikuweza kumchukua, nimemaliza nikawa najitafuta sikuwa na huo ujeuri wa kumchukua japo ilikuwa mbinde sana kumchukua mtoto kila mtu alikataa nisimchukue sina uwezo wa kumhudumia, basi ndio ikawa hivyo mpaka leo!
N.b Hachukui ushauri wangu wowote kuhusu uyo mtoto..
Mtoto ni wa serikali(hata kama iliyopo ni haramu)..Wakimbilie huko wakaonyeshane makali.Nimejaribu kila mbinu zinanigomea! Sijui hata nifanyeje
Polee mwayaHataki kusikia! Anaona ni heri ashinde naye nyumbani wanacheza games kuangalia animation siku nzima😫 nikiongea napuuzwa tu
InasikitishaHataki kusikia! Anaona ni heri ashinde naye nyumbani wanacheza games kuangalia animation siku nzima😫 nikiongea napuuzwa tu
Kama si mumeo mwache apambane na mtoto wake.Hapana
Ndio kwanza kaokoka ghafla anataka kuwa mchungaji
Tusirudi nyuma, inatakiwa fumbuzi za suluhu za matatizo zifanyike kuelekea mbelehalafu mimi navyojua mwanamke yoyote yule mwenye akili sawasawa hawezi kumuachia mtoto wake nyuma..
hata ikitokea amemuacha bs atampeleka kwa bibi yake kwa uangalizi maalum na sio kumuachia baba wa huyo mtoto
Sasa nashangaa wewe ilikuaje ukafeli hapo?