Naombeni ushauri kuhusu kubadili dhehebu ili kufunga ndoa

Mm Sina shida na watt wake kunifu
Mimi sioni tatizo kwa vile kwa Tz hasusani mila zetu mke anamfuata mume ...Mnaweza kufunga kwa upande wa mume ila bado wote ni wakristo na kila mtu atafuate dhehebu lake baada ya hapo..

Ila tambua watoto watafuate kwa baba.
Ata mm, m nachotaka tu niwe na Ile freedom of worship bhc...na stk nifanye kwa kujificha
 
Usije ukabadili Ukatoliki wako kamwe! Yeye ndiye anapaswa afuate kanisa moja Takatifu la mitume.
Nimeshaongea nae kila kitu na kwa namna niwezavyo lkn hataki..afu kinachonishàgaza sio ata mtu wa kanisani enda yake ya Mara moja au mbili kwa mwaka..Ila tu nyumban kwao baba yake ni mchungaji wa kanisa nahisi ndo Mana inakuwa hivi
 
Rc hamna ndoa ya mseto Kati ya mkatoliki na msabato... Ipo Kati ya Rc na KKT, Rc na Moravian, Rc na Anglican... Lkn yy hataki anataka nifate vile anavyotaka yy

Rc hamna ndoa ya mseto Kati ya mkatoliki na msabato... Ipo Kati ya Rc na KKT, Rc na Moravian, Rc na Anglican... Lkn yy hataki anataka nifate vile anavyotaka yy
Ipo sana, mimi ni mmoja wa wanufaika wa hilo, ulizia vizuri.
 
Ebu jaribu kumshawishi kwamba Kanisa Katoliki la Mitume, kuna kitu inaitwa Ndoa ya mseto.
Lakini mwisho wa siku kila mmoja anabaki kwenye dhehebu lake.
Wasabato ni jihadist furaha yao ni kum convert mtu ajiunge na dini yao.
Kuliko waendelee kuzini bora abadili kuwa msabato wafunge ndoa.
 
Tatz sio muelewa anavuta upande wake tu🥺
Achaneni na itikadi kwani ni mtazamo wa mtu binasi hauna athari kwa mwingine...Itikadi inabaki kwako kama unaona sawa ila sio lazima mwingine aifuate.

Mimi binafsi wale kumbikumbi sili hata wapikwe vip ,ila siwezi kumkataza hata mtoto wangu asile ni yeye tu.
 
Yani we acha tu, sikuwai kulijua Hilo mapema🥺
 
Njoo kwangu mu RC mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…