Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ujue kwamba ni mbinafsi.sema na yy ndo anaona kuingia kanisa la Roma ni Kama dhambi jmn
Na watu wakishaoana tu uadui unaanza hapo hapo sijui kwaniniMiaka 6 mmeishi vizuri tu, sasa ndoa ndiyo inakuja kuwavuruga?
Kwanini haipo kati ya RC na Msabato?Rc hamna ndoa ya mseto Kati ya mkatoliki na msabato... Ipo Kati ya Rc na KKT, Rc na Moravian, Rc na Anglican... Lkn yy hataki anataka nifate vile anavyotaka yy
Mm Sina haja na yy kunifuata na stk ivyo ninachotaka kila mtu asali kivyake bhcAchaneni na itikadi kwani ni mtazamo wa mtu binasi hauna athari kwa mwingine...Itikadi inabaki kwako kama unaona sawa ila sio lazima mwingine aifuate.
Mimi binafsi wale kumbikumbi sili hata wapikwe vip ,ila siwezi kumkataza hata mtoto wangu asile ni yeye tu.
Habari zenu wapendwa.
Mimi ni binti wa miaka 24. Niko kwenye mahusiano na mchumba wangu ni miaka 6 Sasa tunaenda na ninampenda Sana mwanaume wangu.
Shida ya kuja hapa naombeni ushauri anataka kunioa ila changamoto inakuja upande wa dhehebu kwenye kubadili mimi napata ukakasi sana sijui kwanini, mimi ni mkatoliki pure na yeye ni msabato pure(kurya) mm sijawai dharau Imani yake ni vile tu nimelelewa kwenye misingi ya dini yangu. Anachotaka yeye ni ndoa ya kanisani na mm napata ugumu kubadili.
Nimejaribu kumshauri tufunge ya Serikali na watoto watakufata yeye lkn hatqki anataka ya kanisani. Mimi moyo wangu umekuwa mzito sijui kwanini na najiona sina amani kwenye huu uamuzi ambao nitafanya kumridhisha yeye sababu nampenda.
Nifanyeje🥺
Bibi huo ndo uandishi gani wakuweka nukta katikati ya sentensi?Kama.kweli.mnapemdana, wote wawili.kuweni Waislam.
Sikushauri ufunge ya serikali,utawatesa sana watoto watashindwa wafate Dini ipi,ya baba au ya mama.Habari zenu wapendwa.
Mimi ni binti wa miaka 24. Niko kwenye mahusiano na mchumba wangu ni miaka 6 Sasa tunaenda na ninampenda Sana mwanaume wangu.
Shida ya kuja hapa naombeni ushauri anataka kunioa ila changamoto inakuja upande wa dhehebu kwenye kubadili mimi napata ukakasi sana sijui kwanini, mimi ni mkatoliki pure na yeye ni msabato pure(kurya) mm sijawai dharau Imani yake ni vile tu nimelelewa kwenye misingi ya dini yangu. Anachotaka yeye ni ndoa ya kanisani na mm napata ugumu kubadili.
Nimejaribu kumshauri tufunge ya Serikali na watoto watakufata yeye lkn hatqki anataka ya kanisani. Mimi moyo wangu umekuwa mzito sijui kwanini na najiona sina amani kwenye huu uamuzi ambao nitafanya kumridhisha yeye sababu nampenda.
Nifanyeje[emoji3064]
Duh🥺Ndoa ili iwe na furaha itahitaji mambo makuu matatu
1. Upendo
2. Akili. Kuelewana. Hekima na busara.
3. Imani.
Hayo mambo matatu lazima mfananane. Ili muweze kuishi kwa furaha na kulea watoto wenu wawe kizazi Bora.
Kikipungua chochote hapo ni bora kuachana mapema.
Hakunaga ndoa ya serikali. Kama kila mmoja hataki kuamini imani ya mwenzake tafsiri yake hapo hakuna familia itakayoanzishwa.
JIBU TAYARI UNALO 👆👆👆Mimi moyo wangu umekuwa mzito
[emoji1][emoji1]Usije ukabadili Ukatoliki wako kamwe! Yeye ndiye anapaswa afuate kanisa moja Takatifu la mitume.
Kwa ufupi kabisa na kwa msisitizo.Habari zenu wapendwa.
Mimi ni binti wa miaka 24. Niko kwenye mahusiano na mchumba wangu ni miaka 6 Sasa tunaenda na ninampenda Sana mwanaume wangu.
Shida ya kuja hapa naombeni ushauri anataka kunioa ila changamoto inakuja upande wa dhehebu kwenye kubadili mimi napata ukakasi sana sijui kwanini, mimi ni mkatoliki pure na yeye ni msabato pure(kurya) mm sijawai dharau Imani yake ni vile tu nimelelewa kwenye misingi ya dini yangu. Anachotaka yeye ni ndoa ya kanisani na mm napata ugumu kubadili.
Nimejaribu kumshauri tufunge ya Serikali na watoto watakufata yeye lkn hatqki anataka ya kanisani. Mimi moyo wangu umekuwa mzito sijui kwanini na najiona sina amani kwenye huu uamuzi ambao nitafanya kumridhisha yeye sababu nampenda.
Nifanyeje🥺
Tatz kila mtu amelelewa kwenye misingi ya dhehebu lake na usichukulie poa labda Kama hujawai kukutana na ii changamoto...na sio Kama napenda nataman iwe rhc ivyo kwangu lakn moyo ndo unanisalitiSikushauri ufunge ya serikali,utawatesa sana watoto watashindwa wafate Dini ipi,ya baba au ya mama.
Ushauri wangu,sioni shida wewe kuwa msabato kama kweli unampenda mchumba wako,sioni ugumu hapo kwa sababu wote ni waabudu Kristu.
Hili nalo mkalitazameFungeni tu ndoa kwenye dhehebu la mwanaume , mkimaliza kila mtu anarudi kwenye msitari wake !!
[emoji1][emoji1][emoji2960]Achana na hiyo kima, unaolewa ili ugundue nini?
Achana naye,tafuta mwingine maana unaweza kufunga naye ndoa badae ukajutaRc hamna ndoa ya mseto Kati ya mkatoliki na msabato... Ipo Kati ya Rc na KKT, Rc na Moravian, Rc na Anglican... Lkn yy hataki anataka nifate vile anavyotaka yy