Naombeni ushauri kuhusu kubadili dhehebu ili kufunga ndoa

Naombeni ushauri kuhusu kubadili dhehebu ili kufunga ndoa

Jessy2

Member
Joined
Sep 18, 2023
Posts
56
Reaction score
107
Habari zenu wapendwa.

Mimi ni binti wa miaka 24. Niko kwenye mahusiano na mchumba wangu ni miaka 6 Sasa tunaenda na ninampenda Sana mwanaume wangu.

Shida ya kuja hapa naombeni ushauri anataka kunioa ila changamoto inakuja upande wa dhehebu kwenye kubadili mimi napata ukakasi sana sijui kwanini, mimi ni mkatoliki pure na yeye ni msabato pure(kurya) mm sijawai dharau Imani yake ni vile tu nimelelewa kwenye misingi ya dini yangu. Anachotaka yeye ni ndoa ya kanisani na mm napata ugumu kubadili.

Nimejaribu kumshauri tufunge ya Serikali na watoto watakufata yeye lkn hatqki anataka ya kanisani. Mimi moyo wangu umekuwa mzito sijui kwanini na najiona sina amani kwenye huu uamuzi ambao nitafanya kumridhisha yeye sababu nampenda.

Nifanyeje🥺
 
Kubadili dhehebu ni kubadili mtazamo, ni jambo la kiimani zaidi sio kama vile kuhama kituo cha kazi. mwambie akuelekeze misingi ya usabato ila kama unaona hukubaliani nayo basi ubaki na ukatoliki wako,

Sema combination ya usabato na ukatoliki ni noma sana, ni kama masika na kiangazi
 
Ebu jaribu kumshawishi kwamba Kanisa Katoliki la Mitume, kuna kitu inaitwa Ndoa ya mseto.
Lakini mwisho wa siku kila mmoja anabaki kwenye dhehebu lake.
Rc hamna ndoa ya mseto Kati ya mkatoliki na msabato... Ipo Kati ya Rc na KKT, Rc na Moravian, Rc na Anglican... Lkn yy hataki anataka nifate vile anavyotaka yy
 
Back
Top Bottom