Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

Unanitia mori sijui kwanini naipuuzia nyumba yangu
Niache uzembe sasa.
Napuuzia maokoto utadhani nimejipata kumbe bado najitafuta.
Si mbali na maeneo hayo hayo

unayotaja
 
Sawa mkuu.
Naomba unisaidie kukadiria kodi kwa nyumba ya hayo maelezo coz huyo mpangaji nilimpa taarifa kuwa nataka kukarqbqti nipandishe kodi akanukatushq tamaa eti kule hapapendwi na wapangaji sbb ya shida ya maji.
Yeye mbona anakaa 😂😂, au ana ubia na dawasko.

Bibie unaonekana unatongozeka kirahisi sana, mpangaji amekutongoza umeingia kingi.

Jaribu kua unaitembelea nyumba yako, hawachelewi kuiuza au kuipangisha tena mtu anakula cha juuu tu kwa jasho lako.

Ikarabati weka dau hilo ulilolikataa mwanzo.
 
Ofcoz yale maeneo changamoto yake kubwa ni maji but hilo sio tatizo coz utawawekea tank kuuuubwa ili wawe wanajisevia wenyewe.... 350k
Nilijengega kisima cha tofali kinavuna maji.ya mvua kikubwa wanatumia hadi bomba ya mvua.Wananunua ya kunywa tu
 
Asante mkuu.
Hiyo kampuni ya valuation naomba jina kuna kajengo nataka kukatia bima ya moto nimeambiwa nigharamie zoezi la kuthaminisha jengo.
Mkopo hapana, sijawahi na sitajaribu naiogopa nitajidu nduliza polepole tu Extra miles
 
We jamaa ndio kusema nyumba yangu nitapangisha laki 7 kama ndio hivyo.

Malamba ni Hoti Keki.
Mku uko hapo kwa Mzalendo?
 
Asante kwa ushauri huu mkuu.
Sitapauza.
Ila huyo mpangaji jamani anapaponda anasema.watu hawapati wapangaji sbb shida ya maji eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…