Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

Mimi naishi malamba naomba tuwasiliane unipangishie hyo nyumba
 
Sawa mkuu.
Ila ina maana nikiifanya mpya hata 350K sipati?
 
Sawa mkuu.
Ila ina maana nikiifanya mpya hata 350K sipati?
Inategemeana na location pia.

Kama iko malamba mawili mwisho karibu na hizo Boda boda na bajaji pale barabarani unapata hadi 400k au zaidi.

Lakini kama iko kule kwa mzalendo kodi itapungua
 
😄😄 mwenyewe na imagine na zile.swaga zake.
Huo mtaa utakuwa no kununa 😂😂
Na mimi ntakuwa nazidi kumpatia vitu vyake pendwa, mzigo ukishuka tu wa kwanza yeye kuchagua.!!
 
Coz. Coz coz,namashaka mtu awe na shumba Malamba mawili halafu awe anaandika coz coz kama kiform two🤣🤣chai
 
Hanilogi sema zamani nilikua na vihela sahivi nimefulia kwa hiyo ndo naitumbulia macho.😁

Ila ushauri wako na wengine walioshsuri nidiuze nimeupokea🙏🙏

Nitafanya hivyo mdogo wangu
usiuze ndugu kwani hao wapangaji wanakwambia hakuna thamani kwakuwa wanataka ganda la ndizi tu,wewe ndio mwenyewe na usiwasikilize wanufaika na eneo lako
 
Usiuze wewe karabati tu then weka mtu... maramba ni moja ya maeneo ambayo yanaenda kuwa ghari sana so kama huna shida yoyote ifanyie ukarabati weka wapangaji... kodi ni makubaliano na wewe ndio unatakiwa upange kwa kushirikiana na dalali.
Hara sasa Maramba ni ghali,ongea n na madalali Wa hu ko.
 
uza nyumba ya urithi ukale bata.... umejenga nyumba usijue ukiuza utapata nn jf bhana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
ukitaka nyumba ya biashara tengeneza room kubwa za self au frem. au gesti au AirBnB

tofauti na hapo ni hasara.
Kuna mtu pia alinishauri hiyp.ya room selfcontained ila naona uzito kudeal na watu wengi
Nilivyo mwehu eti namuombaga yeye ushauri na anavyonikatisha tamaa sasa.
Kuna wkt alinishauri nimuuzie ila hiyo bei alitajia nilichoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…